@squeeze_printing: Allah hakukwambia tu "usifanye zinaa" bali Alisema: "Msiikaribie." {17:32} Kwa sababu zinaa huanza mbali kabla ya kitendo chenyewe. Na mara tu unapokaribia, unaweza kuanguka. Raha ya dakika Tusamehe mola wetu #fyppppppppppppppppppppppp #Tawakal #Tawba#Zinaa #curan
@PrintSparkDesign
Region: TZ
Friday 15 May 2026 11:06:40 GMT
Music
Download
Comments
Dipens511 :
allah tujaalie mwisho mwema tuepushe na kila baya
2026-05-15 19:37:17
3
zubaa :
ya ALLAH tusamehe , na utunusuru yarab
2026-05-17 16:42:52
0
Adidja nimubona :
Subhannallah
2026-05-19 15:22:27
0
Al-rawahy🌸 :
allha atujalie mwisho mwema
2026-05-17 15:31:26
1
Aysher💕 :
SubhanaAllah 😭 😭
2026-05-18 05:15:01
0
Ashraf Twaher :
subuhana llah
2026-05-18 05:05:00
0
user201701767 :
subhanallah AllahuAkbaru Allah atupemwishomwema inshaallah 🤲
2026-05-16 18:14:48
2
Tyson :
Allah for give has all Aamiin
2026-05-17 11:26:04
1
user1505867966130 :
inalillahi waina ilahi raji'uwun ☝️👳🕌🕋🙏
2026-05-19 12:52:19
0
babake muhanad :
Amiin
2026-05-17 20:24:02
0
Muntairra :
SubhaAlllah mungu atunusuru yaraab
2026-05-17 08:48:47
0
lady E :
Allah atuhifadhi inshaallah
2026-05-17 07:39:16
1
abdulkarim 256 :
mola atuongoze yarabi
2026-06-13 20:48:08
0
Gharib Salum :
Subhanallah allah atuhifadh🤲🤲
2026-05-17 04:29:25
0
Shabani Bizimana :
allah atuhifadhi
2026-05-16 06:55:37
0
Ms khadija❤️ :
Mwenyezimungu niepushe mimi
2026-05-16 14:55:52
0
𝐁²ℛ𝒜ℐ𝒴ℰ💋 :
Innalillah wainnailahi rajiun😭😭😭😥😢😢
2026-05-16 19:35:17
0
abdulkarim 256 :
la illaha ila Allah
2026-06-13 20:48:02
0
Amida :
yarabi tusamehee
2026-05-16 14:02:41
0
Mysterious_gall :
subhanaAllah
2026-07-07 08:29:05
0
Ahmed :
mwenyezi Mungu atudjaliye mwisho mwema na atuepushe na mitihani katika maisha tunayo ipitiya na atusamehe mazambi zetu
2026-05-18 15:42:15
1
sharfu :
mwenyezi Mungu atuepushie na zinaa pamoja na vizazi vyetu
2026-05-16 15:24:15
5
wakuseti02 :
allah atusameh madhambi yetu
2026-05-19 12:22:12
0
Rey😘 :
Allah atuepushe na madhambi haya…Ameen thumah Ameen🤲🏿😭
2026-07-07 07:40:24
0
minentle :
😭😭😭😭
2026-05-17 08:28:51
1
To see more videos from user @squeeze_printing, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.