@bbcnewsswahili: Je unajua kuwa UTI sugu inaweza kusababisha shida a figo? Wataalamu wa afya kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Tanzania, wanasema kuwa vijana wengi hugundulika kuwa na magonjwa ya figo wakiwa tayari katika hatua za juu za ugonjwa, kutokana na kutofanya uchunguzi wa afya mara kwa mara. Tarsila Emmanuel Chuleha, Muuguzi Bingwa wa Magonjwa ya Figo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Kitengo cha Kusafisha Damu (Dialysis), amezungumza na @marthasaranga #bbcswahili #fy #fyp #tanzaniantiktok🇹🇿 #afya #figo #dialysiswarrior