@kishkionlinetv: Makumi ya madaktari bingwa wa magonjwa ya akili nchini Marekani wametoa onyo kali dhidi ya Donald Trump wakisema hali yake ya kiakili inazua wasiwasi mkubwa na inaweza kuwa hatari kwa taifa hilo pamoja na dunia, hasa kutokana na mamlaka yake juu ya silaha za nyuklia za Marekani. ________________________ Tufuatilie KISHKI ONLINE TV kwenye: Instagram → KISHKI ONLINE TV Facebook → KISHKI ONLINE TV TikTok → KISHKI ONLINE TV ▶️ YouTube → KISHKI ONLINE TV #mtazamo #KishkionlineTv #nuruyadiniyako
Kishki Online TV
Region: TZ
Friday 15 May 2026 14:39:08 GMT
Music
Download
Comments
Bismillah Allahu akbar :
AI
2026-05-15 17:46:00
7
DOLPHIN :
2026-05-16 05:19:41
7
pryn_bbysarah :
real or madrid
2026-05-20 12:51:36
2
Rajab :
mmmh
2026-05-17 19:30:28
2
Ummu Salma :
alooooo 😅😅😅😅
2026-05-16 08:53:03
5
mu suley :
Duh
2026-05-15 18:52:50
5
Hb omy :
is this AI or IA?
2026-05-16 10:51:12
1
mkinga mashuhuli :
follow me
2026-05-16 15:41:33
1
Mariam Mohamed :
mh
2026-05-16 18:09:12
2
. :
AI
2026-05-16 00:33:39
2
ahmatar2023 :
Ai
2026-05-17 07:23:27
0
123 123 :
2026-05-16 06:10:41
2
Ahmed Abdul aziz :
hata me nakubali huyu mwehu kabisa
2026-05-15 19:25:21
15
Mangenja Mpili :
Niliwaza muda sana kabda madactar
kutamka.
2026-05-15 20:01:45
15
RABIA_HEENA🖤 :
mimi nilikua mbele ya madaktari nililiwaza hili😂
2026-05-15 21:04:16
12
Haji Madogo :
kweli kabisa...
2026-05-15 19:42:43
6
sulle k sulle :
kweli kabsa
2026-05-17 16:35:19
1
kulaya tz :
Media gani hii
2026-05-18 12:56:33
1
Hilary hezron :
media gan
2026-05-17 05:00:12
1
Yahya Tailor Fashion. :
Wallah kwa muda mrefu sana nilisema huyu akili yake ina ulemavu leo nimejiona mwana sayansi kuona fikra yangu imeonekana na wataalam wa dinia.
2026-05-17 08:03:43
1
Ayoub Yusuf :
chizi
2026-05-15 19:19:25
3
Idaa s :
Na samia je????🥺🤔
2026-05-15 19:10:53
3
idrisa nikiyi :
kweli kabisa
2026-05-15 19:22:41
3
Sheru2 :
😳😳😳😳 haya.sasa.
2026-05-15 19:51:06
2
Fatuma Marick :
sawa kabisa 😱
2026-05-15 16:40:07
2
To see more videos from user @kishkionlinetv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.