Allhamdullillah Allhamdullillah Allhamdullillah tupo watatu tunaish vizur na mume wetu anatupenda sote kwa usawa
2026-05-18 05:42:29
8
ukhuty MUM🧕😘 :
nipate mke mwenza kama huyu mwenye akili ,na imaan najua mume wangu anadin atakuja kuoa one day ...allah atie wepes nisiwe gubu mm aje in shaa allah ,ntasubir kwa kher
2026-05-16 10:41:51
24
🌸Nadear🩷 :
kweli upo sahihi mshaaallh 🥰
2026-05-17 08:58:40
2
sofia.sofia179 :
mh
2026-05-16 17:01:19
1
Madogirl :
juba umegeuza
2026-06-01 08:46:42
0
Husna Mataka :
Wewe Mzuri Maa Shaa Allah, Allah Akuhifadhi Na Maneno Yako Mazuri Na Roho Yako Inaonekana Ni Nzuri Vivo Hivo..🥰🥰
2026-05-16 10:22:54
14
user27825543361202 :
Ma Sha Allah Allah akupe umri mrefu
2026-05-15 16:44:42
8
Abduli Rahmani Sulei :
asnt dada angu umeugusa moyo wangu mungu akuhifadhiz n kila baya 🥰🥰
2026-05-17 04:15:56
10
user53886376290678 :
Mi pia naomba npate huyo mume wa wake wengi mwenye dini mana wa mke mmoja yuadanga sana
2026-05-18 14:35:11
5
ally abubakari :
upewe mauha yako masha allah
2026-05-20 09:22:33
1
45 :
jamani hapa tuko 4 na bado mzee ana vimada vyatele wanaume baadhi yao 🙌🙌🙌🙌
2026-05-18 20:14:07
0
mishe mishe🏃 :
dada samahani uko wapi wewe mashallaa🥰🥰🥰
2026-05-16 18:14:45
6
daktari :
Uyu dada apewe ulinzi mkali sana
2026-05-17 14:04:07
4
#Dilunga :
mbona tungenenepa Wallahi
2026-05-18 21:48:03
1
smart boy 06 :
kuoa wake zaidi ya mmoja kama moja humtoshelezi usioe wapili utadharaulika hutopata amani kama hawaridhiki