mama sio kila kitu mnamsifu wapo wanaotupa watoto wanatoa mimba wanatekeleza watoto lakini pia
2026-05-16 13:45:40
3
💖Junior✌mkude👊 :
story yak imenigusa I love you mom
2026-05-18 13:02:27
4
Fetty cute :
nakupenda sana mama yangu♥️
2026-05-16 15:09:05
9
Officiall zouh🦋💦 :
mungu wape maisha marefu mama zetu🥰
2026-05-26 11:27:16
3
Official asmah✨🦋 :
Eee mola wangu nilindie mama angu🥺🥺
2026-05-24 21:21:59
3
najmahamza :
hamana m2 mwengene mwenye kujali kama xyo mama ako n mung wng 🥰❤️❤️
2026-06-05 06:34:09
1
Tech.Nicholas Nestory :
eeh mola walinde wazazi wetu
2026-05-26 13:32:37
2
IQRA beauty🌿 :
eeh mwenyezi mungu mpumzishe kwa amani mama yangu🙏🙏🙏
2026-05-24 11:47:20
6
OG 99 :
maisha marefu sana Wamama wote duniani. 🙏🙏
2026-05-26 06:10:40
2
tumah :
hakika mam n mam tu
2026-05-24 21:50:05
2
farihia :
daah so pain Mungu mlindee mama yangu
2026-05-18 16:58:42
1
Jack Eliasi :
mama yangu nakupenda sna sna mimi nimeumwa mamaangu al8vyojua tu na nipo mbali naye ata kula hawez kufanya chochote ananiwaza tu mbka nasema kwann nimesema naumwa ila mama ni mama
2026-05-24 20:11:09
3
Rayya :
nakupenda sana mama angu
2026-05-25 11:13:33
1
Rhino :
daaa inauma
2026-05-24 19:10:33
1
shaigi wajeova :
mungu mrunde mama yangu
2026-05-24 08:16:56
1
BELLA QUALITY SENDO🛍️ :
Next
2026-05-16 11:21:36
1
babygirl😉🫶 :
mungu atupe maisha maref tukuze watot wetu na kuwalinda
2026-05-25 08:29:32
1
allah :
mama ni mama
2026-05-17 05:49:26
1
Tumaini Amani :
Nan kama mama ♥️♥️♥️♥️
2026-05-16 11:11:26
1
karimmadini6 :
Kbsa
2026-05-16 09:40:19
1
Queen of somali ✨💞 :
sorry 😭😩
2026-05-15 17:09:05
1
user9356860069378 :
kweli kabisaaa
2026-05-15 18:38:06
1
_toto_619 :
next
2026-05-20 22:37:38
0
To see more videos from user @gambertz, please go to the Tikwm
homepage.