Kwa mara ya kwanza nimeona vijana wanaocheza mziki wa yesu tena kwa kuimba kabisa saloon mungu akubariki mmiliki wa hii saloon na akuletee wateja kama maji
2026-05-16 08:52:12
235
lency🦋🦋 :
Memuonaaa mchumbaangu anamsifu Mungu ooooh hallelujah🙏🙏🙏
2026-05-16 11:41:24
121
aknifenwa :
kusingekuwa n wanawake wanaume wangeishi kwa furaha sana 😂
2026-06-15 20:22:23
6
Aneth Beauty Point MWANZA :
Mungu awabariki sana na salon yako ikapate kibari 🥰
2026-05-16 06:01:12
96
Alex Mapande. :
hii saloon nimeipenda iko same sehem gani
2026-05-15 18:31:51
18
ernest hazard10 :
kwa udhamini wa mama jusi
2026-05-15 20:12:25
23
LIKUYANI LISSA NANGILI :
It's Sunday morning after buying data,boooom am here the first video ✅✅🙏🙏God is good❤️❤️❤️
2026-05-17 05:43:03
7
Jacky_Store :
nimewapenda mno, Mungu amewapa kutumika kwa namna ya tofauti, mbarikiwe
2026-05-16 03:59:17
14
minister_giftmwangaa :
Kwaya ya Mama jusi moshi 🔥🔥
2026-06-11 18:41:39
2
Nancy🎀 :
Ongera sana vijana please isiwe content bali muishi hvyo kwel
2026-05-16 17:26:12
16
George :
aisee mungu awabariki sana na kazi zenu ziinuliwe
2026-06-08 18:27:24
6
Essie :
haleluya
2026-06-11 22:29:40
1
sweetie 🥰🥰 :
wanaume wakimsifu mungu inanoga sana 🥰🥰🥰
2026-05-16 17:39:29
7
furaha joseph :
mungu awape wateja kama wote mmenifurahisha sana🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-05-16 17:40:21
6
Halisia Isaya :
Mungu Wngu gusa Watoto wetu huawajaze roho mtakatifu 🙏🙏
2026-05-16 19:22:36
6
lovenes kaydeny :
Ameeen tulioangalia jumapili sa 5 usik
2026-05-17 21:23:48
6
secunda :
Nmewapenda bure Mungu awalinde kaka zangu😂🤣😂🙏🙏
2026-05-16 06:53:24
5
Anipha cute 💗 :
nmependa sana mpaka machoz yamenitoka haki
2026-05-16 05:47:30
5
faith :
nawapenda sn kwan hy saloon ikwap
2026-06-07 17:11:26
1
Emma :
nawapendaaa
2026-06-04 19:20:49
2
YourTrulyFaith :
Raha
2026-05-17 05:28:31
2
Hellen Maiko :
mme nikumbusha mbali sana jaman
2026-06-18 18:42:51
1
Jeny :
safi sana
Mungu awape kuinuka zaidii
2026-06-06 19:36:32
4
Upendo Charles Msangi :
popote ulipo msifu bwana 🙏🙏♥️
2026-06-12 22:46:14
1
suzzy :
waooo naipenda ndugu zangu wa funta
2026-06-08 20:30:09
3
To see more videos from user @emmanuelmmasa, please go to the Tikwm
homepage.