@dr.issambashu: Doctors working for Private health insurance. Madaktari WA bima ya afya binafsi #privatehealthinsurance #healthinsurance #drmbashu #tanzaniahealthcare #creatorsearchinsights

Dr Mbashu MD | PMP®
Dr Mbashu MD | PMP®
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 16 May 2026 04:45:35 GMT
20193
1491
61
72

Music

Download

Comments

safari_maps
Safari Maps :
Daktari. Sisi ambao hatupo kwenye clinical practice umetukumbusha shule ya bure kabisa. ubarikiwe 🙏
2026-05-16 05:59:54
34
mac_0xy
mac_0xy :
Capitalism in Healthcare is very dangerous
2026-05-17 16:13:07
5
abuu_19
Abuu Reelan :
madaktari wa bima wanaangalia faida
2026-05-16 06:58:38
21
mwakahabala
Mwakahabala :
Wale wa BIMAya Taifa (NHIF),Ujumbe uwafikie, maana wanajikuta sana wale jamaa
2026-05-16 17:01:48
19
mercyek8
Mercy🌺EK :
Immunology ya ndani ndani kabisa👏🏽👏🏽
2026-05-16 12:24:36
4
cu1966
Mwafrica :
Mimi sio dactar lakini Dactari wetu ametusemea. Utunzwe na Mungu kwa ajili ya Taifa
2026-05-16 05:26:35
11
idrisanasibu
Dr Idrisa 255 :
Hii content inabidi iendelee kuishi milele. Maana jamaa wanasumbua sana na hawana logic yoyote ya msingi, ila kwakuwa wapo kwenye position fulani basi wanalazimisha maamuzi ambayo kimsingi hayana masilahi kwa wagonjwa na yanapelekea utendaji kuwa Mgumu. ASANTE Dr Mbashu. Stay blessed.
2026-05-16 19:52:42
6
neemangonyan
neemangonyan :
kabisaaaa umesema jambo zuriiiii sana Dokta Mungu akutunze kwa kutupa Elimu
2026-05-16 05:08:37
7
mteule.26
Mteule 26 :
Shule kubwa sana hii 👏👏👏👏
2026-05-16 06:05:40
3
alt.bil
Alt Bil :
mimi nesi hapa kenya 🇰🇪 Allah akubarik kwa ilm unayoipa Jamii Doctor! long live Doc!
2026-05-16 07:10:55
3
remsysupplies
Smartphones | Accessories :
Hii nimeandika notes kabisa☺️
2026-05-16 08:29:46
2
amsheyja
Dr. Aysha :
This is very true🙌🏼 Mungu akusimamie Daktari!
2026-05-17 09:59:32
1
munisijo
Baba Delisa :
You got my follow, pia I got know why AI might true end up winning
2026-05-16 16:31:12
1
charlesmrema3
MREMA :
upo sahihi kabisa wanajisahau sana
2026-05-16 05:15:15
2
wizatz710
Wiza tz :
Barikiwa sana Daktari
2026-05-16 07:27:45
1
bennyisbxck
B :
Best content on TikTok in the country
2026-05-16 07:13:44
2
itisdrsule_
Dr.Sulley :
NHIF
2026-05-16 07:42:30
2
abdillah.fundihaj
Abdillah Fundihajj Ngoti :
Allah-u-baarik
2026-05-16 05:25:09
2
herieth94
lexie :
This is me
2026-05-16 06:00:24
1
silent.killer3969
silent killer :
Heavy material flow ✊,
2026-05-16 05:35:56
1
ruichen_lee
Maswai_Lucia 💞 :
ngOja nirepost tu
2026-05-17 11:25:38
0
_ms_lelah
Lelah :
je mimi ni daktrari? hapana , nimewahi kuugua denge 😁? hapana but I watch the whole vid.. I find it super cool mtu akiongelea kitu anachokijua kwa mafacts, kudos Doc🫡👏
2026-05-18 09:41:34
0
alex248968
Dr Alex❤️🩺💊 :
God Bless you Brother,,, 🔥🔥
2026-05-18 08:41:51
0
clearihb86r
Clear :
Blessed
2026-05-17 13:35:03
0
aln_324
💥p :
ur so clear bro
2026-05-16 06:53:37
0
To see more videos from user @dr.issambashu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About