Yah latif tujahalie pepo Waislam wote pamoja na wazazi wangu 🙏
2026-05-18 12:50:04
88
ilham :
Ya Latif waondoshee maradhi watoto wangu ,Ya Latif wazidishie ufahamu ktk masomo yao wanangu, Ya Latif waupushe na hasad za majini ,binadam na mashaitwan Aamin thumma Aamin
2026-05-19 05:12:09
32
maryam01 :
miracle name of Allah...I have atestimony
2026-05-17 12:15:35
10
sithi🦋 :
nijalie mwangaza wa maisha
kazi
ndoa njema
afya njema
family Bora ;.na kizazi changu
umri mrefu
mwisho mwema
2026-05-19 04:21:14
14
hadija :
ya lattif naomba ndoa
2026-05-16 23:03:12
6
abduli 987 :
yaaa lateiif tussamehe makossa yetu
2026-05-22 20:11:05
1
CDE SenkondoJr :
Yaa Latif Ewe Allah Nakuomba Kwa Baraka ya jina lako hili nakuomba unipatie mke mwenye khri kwangu na wanangu
2026-05-20 20:39:51
2
Rujaynah BABE :
yaa Latifa ×129 yaarab nakuomba unijaalie mtotoo na mume 🙏
2026-05-18 05:54:02
8
user8540728354119 :
ASALAM ALEIKUM.KISHA WASOMA SAA NGAPI HILI JINA LATIF LA MWENYE EZI MUNGU.NIKO NA SHIDA NAOMBA MSAADA WENU.
2026-05-16 09:56:19
4
Aisha :
Ya latifu nakuomba ewe Allah unijalie pepo p1 na wazazi wangu 🤲😭