@fertilityexpert: Benign Prostate Hyperplasia (BPH) Ni Hali Ya Kuongezeka Kwa Ukubwa Wa Prostate Kwa Wanaume, Hasa Kadri Umri Unavyoongezeka. Hali Hii Inaweza Kusababisha Dalili Kama Kukojoa Mara Kwa Mara, Mkojo Kutoka Kwa Shida, Kukatika Katika Kukojoa, Au Kuhisi Kibofu Hakijaisha Mkojo Vizuri. Wanaume Wengi Hupuuza Dalili Hizi Wakidhani Ni “Kawaida Ya Umri”, Lakini Wakati Mwingine Inaweza Kuathiri Mfumo Wa Mkojo Na Ubora Wa Maisha Kwa Kiasi Kikubwa. Usipuuzie Ishara Za Mwili Wako. Uchunguzi Wa Mapema Unaweza Kusaidia Kudhibiti Tatizo Kabla Halijawa Kubwa. #BenignProstateHyperplasia #AfyaYaMwanaume #ProstateHealth #DaliliZaProstate #ElimuYaAfya DISCLAIMER: Kontenti Hii Ni Kwa Madhumuni Ya Elimu Pekee Na Haipaswi Kuchukua Nafasi Ya Ushauri Wa Daktari. Tafadhali Sikiliza Mpaka Mwisho Ili Kupata Uelewa Kamili Wa Ujumbe Na Kuepuka Tafsiri Potofu.

Swahilimedics
Swahilimedics
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 16 May 2026 07:09:24 GMT
16358
871
10
135

Music

Download

Comments

kidege.automotive
𝕊ℍ𝔼𝔹𝕐 𝕂ℍ𝔸ℕ🇹🇿 :
2026-06-24 18:23:37
1
nicky.milly06
Nicky milly06 :
UNATUFAA SANA KWENY TEAM UROLOGY 🤗🤗🤗🤗
2026-05-18 18:20:23
0
user5786369752687
Mama T :
Docrt nakupenda bure, unajua kuelezea vzur
2026-05-16 17:49:45
1
avelina.godfrey
Avelina godfrey :
Acha bas doctor
2026-05-16 08:30:41
0
sakri1924
sakri Tanzania 🇹🇿 🇰🇪 :
naweza kunywa soda cake ziro tu mara moja kwa wiki tena simalizi chupa
2026-05-16 22:25:49
1
zuhuraomar17
yusra :
natukifanya sana pia sipati mimba sasa hapa itakuaje
2026-06-04 13:44:07
0
mfupa.fwany
Mfupa Fwany :
ngoja tukuitie doctor @Dr. Noel, MD
2026-06-13 14:05:27
0
To see more videos from user @fertilityexpert, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About