@lifebyangel10: Kitchen inaonekana sehemu ya kawaida… mpaka kitu kifanye “BOOM” 😭💔 Tangu hapo nimejifunza kuwa makini na bidhaa za jikoni ninazotumia Mimi example yangu ni Skywood 😌 brand nyingine mtajaribu kwa risk zenu sasa 😭😂 Poll: Do you read kitchen instructions before using? 👀