@rfi_sw: Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amesema nchi yake inadhibiti asilimia 60 ya Ukanda wa Gaza. Aidha amesema mapigano kati ya Israel na Iran bado yanaendelea lakini historia ya Israel na Mashariki ya kati imebadilika kama alivyoahidi. #gaza #netanyahu #israelpalestineconflict