@duo4626: 🫵Pregnacare Conception Max kutoka Vitabiotics ni kirutubisho (supplement) kinachosaidia wanawake wanaotaka kupata ujauzito. 👇Jinsi inavyofanya kazi mwilini? Dawa hii haifanyi kazi kama dawa ya homoni, bali huupa mwili virutubisho muhimu ili kuboresha uwezo wa kupata mimba🫄 (fertility) 1. Huboresha afya ya mayai (eggs) ✔️Ina Folic acid husaidia ukuaji mzuri wa seli na maandalizi ya mimba ✔️CoQ10 husaidia kuongeza ubora wa mayai (egg quality), hasa kwa wanawake wenye umri mkubwa kidogo 2. Husaidia usawa wa homoni ✔️Inositol husaidia kurekebisha mzunguko wa hedhi na ovulation (hasa kwa PCOS) ✔️Hii huongeza nafasi ya yai kupevuka na kutoka vizuri 3. Huongeza uwezo wa kupata mimba (fertility) ✔️Zinc muhimu kwa uzazi (reproduction) na utengenezwaji wa DNA ✔️Husaidia mwili kuwa katika hali nzuri ya kuruhusu mimba kutunga 4. Huandaa mwili kwa ujauzito ✔️Vitamin D + vitamins nyingine huimarisha mfumo wa mwili (immune system) ✔️Huandaa mfuko wa uzazi (uterus) kupokea mimba 5. Husaidia ubongo na ukuaji wa mtoto mapema ✔️Omega-3 (DHA) muhimu kwa maendeleo ya ubongo wa mtoto hata kabla hujapata mimba ✍️Kwa ufupi ➡️Kuboresha ubora wa mayai ➡️Kurekebisha ovulation ➡️Kuandaa mwili kwa ujauzito ➡️Kuongeza nafasi ya kushika mimba 📞0712893911 #creatorsearchinsights