@funcitytz: Robo tatu ya furaha ya watoto ni kuja Funcity kucheza na kufurahia #funcity #FamilyFun #waterpark #goviral #tanzania

Funcitytz
Funcitytz
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 16 May 2026 09:05:16 GMT
239650
3360
89
178

Music

Download

Comments

bettykarume6
Betty :
Sasa hebu nieleweshe hii 25,000 na kucheza?Au yani kiingilio tu bila mchezo samahani sijaelewa
2026-06-11 10:27:35
0
aishaaisha3131
isha Cake :
watoto 2 bei gan
2026-05-18 12:03:10
1
user1874281234149
endless george :
ni wapi hapana jman twambieni
2026-05-18 12:52:09
4
sophiambonga
sophia mbonga :
nzuri 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰@
2026-06-02 02:28:41
1
annahmaria457
AnnahMariah🦋💜 :
kwahyo hiyo25000 au 60000 watoto wangapi au mtu mmoja kila mtoto elf25000 au hiyo wanaingia wangp nahitaji kujua hilo mm nipo tuangoma
2026-06-13 11:54:36
0
leylat.janga
leylat janga :
nilikuja apa 2014 nikiwa na miaka 13 kufanya graduaction ya kumaliza primary kipunguni😂😂ila tulienjoy san nitakuja ten nikirud Tz🥰
2026-05-28 19:12:28
1
nin.cute0
N@in@ cute :
shingap naomba nisaidie namba za simu nataka kuja
2026-05-16 16:41:47
2
busines3978
busines :
baba mama na mtoto mmoja beigan
2026-06-07 18:51:49
0
djfhxhdhf0
loveness :
mtu mmoja ndiyo iyo60?
2026-05-19 04:34:16
1
ashnaiza.simba
Ashnaiza simba :
taja bei bc tujue
2026-05-30 14:03:37
0
hahiz250
H :
wote wanakojoa humo 😁
2026-05-16 18:47:03
1
chifusultani769
toxic.mr kula kwa jasho :
sisi tumeend juz apo bei iko poa sana
2026-05-16 10:16:16
1
user8072603074704
ummy safia :
wapi
2026-05-30 18:43:05
1
montinne4
userzayuu :
sh ngapi
2026-05-16 12:43:32
0
am.sepombe
sepo lyrics :
kitamb sana cjaenda ap
2026-05-17 12:41:47
1
antilove46
Antilove 💕♥️♥️ :
mbona Bei Sana nikiwa na watoto watatu 75000 apo atujala
2026-05-29 10:29:04
0
da.rey685
da rey :
wapi hii
2026-05-30 09:01:23
1
irinejohn219
Irine John :
mambo muko wapi
2026-05-30 09:41:05
1
user892696669
حليمه :
mupo sehem gani
2026-05-21 16:15:28
1
user0mansura
🤲🤲🤲mansula :
wapi jaman apo
2026-06-11 05:57:21
0
amidafadhili915
Amida Fadhili :
mpo wap
2026-05-29 12:20:34
0
angel.james883
Angel James :
hapo wap
2026-05-31 14:25:31
0
datuu707
Datuu :
wapi huko
2026-05-30 18:51:31
0
agnesalkhan
Agnes Al Khan :
unapatikana wp
2026-05-16 13:02:08
0
To see more videos from user @funcitytz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About