@kifungunaghala: "KUTOKA MASKANI MPKA MEZANI "🥘🥘🫎 Asante sana Captain @josemlavichwa1 Ilikuwa sio Chakula tu Bali ni KUMBUKUMBU ya Kudumu. 🙏🙏 Upendo, Furaha, Amani ndio Fahari yetu Karibu tena Taifani @kifungu_na_ghala 🙏🙏🙏❤️❤️ #uswahilini #misosi_tz🇹🇿 #food #kifungunaghala #content

kifungu_na_ghala
kifungu_na_ghala
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 16 May 2026 09:38:22 GMT
489305
29459
806
402

Music

Download

Comments

marybeauty9072
Mary@beauty :
jaman huyo kaka mweupe nimempenada Ana mke kweli🥰
2026-05-16 13:09:59
203
bunuri.masembo
Bunuri Masembo :
kwan mpo wapi nije na familia yangu jmn
2026-05-16 10:00:31
146
ivan.jordan255
King Jax👻 :
Mi Ndio wa kwnza Leo nipeni lake zangu jaman
2026-05-16 09:42:53
113
kije2019
Kije2019 :
kwani ni kifungu na ibara/ghala?
2026-05-16 11:45:27
34
majeed_plumber
MAJEED JASMIN :
Kuna unafundisha jamii wachache tumeanza kukuelewa mwanzo mwisho together respect bro 🤲
2026-05-17 07:17:59
26
sweetiepi76
Dovegirl 🕊 ❤️ :
Kwel leo mmekula vizur 😍
2026-05-16 11:36:54
9
ashabakari291
Ukhty Aishaz :
Kula kwa pamoja raha sana 🥰
2026-05-18 06:09:32
16
tundaog
Tee❤️🥰 :
na kitoweo kaja nacho mwenyew noma sana joseeeee
2026-05-16 09:49:20
31
husna.mdoe
Husna Mdoe :
katika siku mliokula kishua sana ni hiyo apo
2026-05-16 11:43:02
25
amina.nawab7
Emmy🦋 :
Hii ndo mana ya jose mla vichwa dinner nzito
2026-05-17 07:56:23
10
sparrow9568
Sparrow :
kaka hapo imekosekana kvant kubwa au konyagi ...week end ingekuwa poa sana wakuu
2026-05-19 07:20:01
7
user508773760237
ESROMU JOHN :
kaka nakubali nitakuja siku moja hapo kawe
2026-05-16 18:57:33
5
kevoo.micngo
Kevoo Micngo💫 :
duuh hii Ngoma mpk usiku
2026-05-18 07:26:28
6
singlemumy5
Kitike outfit 😍 :
Ibaraaa ya leo mmeng’ata sana nyamaaah 😋😋
2026-05-17 06:44:37
5
nexus.6.brain
Nexus 6 Brain :
Hii Imeenda 😹🙌🏾🔥🤭
2026-05-17 03:02:36
5
irenegeofreyo
Irene G🇹🇿 :
mngekua mnabakiza bajet ya kesho kama hela nying
2026-05-17 03:47:19
5
momyakeg2
Gyda :
yaaan kila kitu ni ubunifu tu na maamuzi ktk kuanza,💪 msha win ma bro,japo wanga wameharubi lkn mtainuka tu🙏
2026-05-16 16:48:35
5
jamal_muller_jordan_
Jamal Muller vevo :
Nice
2026-05-18 20:08:40
1
makhaveli037
makhaveli 037 :
3k ati😳
2026-05-22 22:04:59
1
ibshabani
IBRAHIM :
kifungu na ghala 👏👏
2026-06-22 05:58:39
2
aminaeli05
Amina :
mpo wapi nije jamani
2026-06-18 14:56:51
1
phina0966
phina🇹🇿 :
mnapatikana wapi nije nifurahi nanyi
2026-06-19 10:34:00
3
tinahtannah25
✨Tinah Tannah🦋 :
napenda mnavogawana majukumu ya kazi
2026-06-13 10:42:46
1
To see more videos from user @kifungunaghala, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About