ya rabbi niondoshee vifungo vyote nilivyo fungwa husda na hasada nipe mume mwema nitampenda na kumjali kama wameniwekea hasada zozote niondolee ni bana
2026-05-17 10:01:39
31
H Vinto :
mashallh shek.tatizo Aumalizi dhua kwa video wazikatisa
2026-07-01 21:12:18
1
lacomorieNne98 :
Amin
2026-07-02 18:26:16
1
said hamad :
ya rabbi niondoshee vifungo vyote nilivyofungwa
2026-07-14 17:38:07
2
zainabu yahaya hamisi :
yarabi niondoshe vifungo vyote nilivyo fungwa ndani ya mwiliwangu nipe mume bola nitampenda nitamjaliii
2026-05-18 20:53:57
8
Salma Salumu :
ya Allah niondolee maradhi yote mwili
2026-06-25 01:14:39
1
HUSNA :
Emwenyez mungu niondolee hasad nifunguelie rizik zangu nilinde na kilaaina ya mabaya Amiin🙏🙏
2026-05-17 17:52:26
7
MUHABESH ♥️ :
Aamin YARABY naomba baraka katika biashara yangu 🤲🤲🤲
2026-05-18 04:59:39
6
sofleen :
Asalam alaykum ustadh nime kufolow na dua nime skiza
2026-05-18 06:19:15
8
suluhu family :
shukurani sana maalim
2026-06-03 21:56:51
1
Asia Selemani :
nakuja kuisikiliza nikiwa nimeturia insha Allah
2026-05-16 12:10:08
7
My Sara :
yarabi nakuomba kama kwenye mwili wangu kunavifungo kunauchawi nakuomba kupitia duwa hii basi vitoweke ndani ya mwili wangu nakuomba yarab
2026-06-21 06:11:36
3
🤴🤴Mr💸handsome💰 :
🥰🤲amin ya rabbi thumaa amin🥰🤲
2026-06-12 00:23:14
3
halimamgaya :
ALLAHUMMA AMEEN 🙏 INSHAALLAH
2026-05-16 22:07:47
6
ya Isa mumbere :
Aminaaaaaaaaaa Insha'Allah
2026-07-02 11:03:16
1
salamuu :
aAmiin ya rabba La'lamin
2026-07-01 12:12:17
1
nurse warda :
ya rabby naomba uniondolee maradh yananisumbua nifanikiwe katika maisha yang ishaallah amiin👏👏
2026-06-03 15:44:07
3
rams@22 :
amin amin amin
2026-06-10 07:19:23
2
joyce makole :
naomba mungu unijaliye pesa zikae
2026-06-14 06:29:22
1
Mrs salumu💕 :
amini
2026-05-24 21:22:51
1
user2610821161783 :
amin ya allah
2026-06-21 16:26:35
1
user5939126113395 :
Allah niodoshe matatizo yote ya nao ni kwaza katika maisha yangu inshallah 🙏
2026-05-30 14:13:26
1
user2610821161783 :
ya allah aniondoshee vifungo viote,nifungilie milango ya baraka.pesa,
2026-06-21 16:28:07
1
To see more videos from user @athumani.shabani0, please go to the Tikwm
homepage.