@neema.opanga: #creatorsearchinsights#Lifetips #Motivation #JifunzeLeo #NeemaMentor.

neema opanga
neema opanga
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 16 May 2026 12:28:15 GMT
50838
1861
523
62

Music

Download

Comments

tap_two
Taptwo Zion :
hela zimeshikana na moyo na moyo ndo unahifadhi mood,alafu jifunzeni kutafuta hela zenu kubabake zenu
2026-05-21 05:56:20
67
might.jesus
Might Jesus :
tatizoo wanawake hamnaga shukranii, hata kama uwape nn, wanajali kile unawapa kwa mda huo tuu, ukikosa kesho hana mda na ww
2026-06-14 23:57:09
1
elipidiusimelikisedecki
elipidiusi :
nina mahusiano lakini sijui yanahusiana na nini
2026-06-14 20:23:13
1
magdalenajoseph2
mamekrido beauty salon :
mi ananipa na ananuna siku nzima😅
2026-05-16 17:12:16
33
biaminabakari369
Kipenzi cha Mizimu ❤🙏 :
Yaani ukiona hadi naomba hela ujue huyo sio gentleman maana huwa wanatoaga wenyew tu🙏
2026-05-16 15:46:24
37
dovalaymoo
Dova Laymo :
Mnakoseaga kuomba mnatuomba hela kama vile mlitupa tuwatunzie wakati mm nimeipata kwa hekima na unyenyekevu wa Hali ya juu
2026-05-18 23:15:01
21
eberimanya
Eberi Manya :
mnaomba sana
2026-06-07 17:12:56
1
majidyjuma8
Teacher :
mi ndo stoi kabisaaaaa
2026-06-10 23:40:26
1
issa.uddy
Hood :
kwasababu ume interapt na bajeti zake
2026-05-30 04:47:41
8
peterrogathe
[email protected] :
dimpoz 😎😎😎
2026-05-31 07:28:54
1
rukiabotea0
RUKIA :
Ndilomana wanawake tunapambana,kutafuta pesa zetu.
2026-05-16 17:17:56
7
barnaba38
barry :
wewe kuweza
2026-05-21 08:39:39
5
user6077143215229
user6077143215229 :
mizinga inakua mingi.
2026-06-05 19:31:48
1
user7268041278686
lily💞💞 :
Yan mm nikimuomba ela haamini kama Sina ela sijuh ananiona kama nafanana na ela
2026-05-16 15:42:19
6
user1048968324952
MasterMind :
Kumbuka unazungumzia ela☺️
2026-05-18 10:40:54
5
geturude__
Aggy beby🌹🇰🇪 :
yani ili lidada nalipenda Alf lina akili😅😅
2026-05-16 17:31:49
7
fadhilimwakaje
Fadhili Mwakaje :
Hela zina mipango mingi, ukiomba hela unaharibu mipango
2026-05-21 11:36:02
5
evawayesu1
EvawaYesu🌹💐🪴 :
nawala siombagi hela ✌✌✌
2026-05-16 12:35:19
5
derick_1616
Derick MP :
ungekuwa wew vibe ungepata
2026-06-13 21:10:34
1
timotheokitinya
TIMOTHEO KITINYA :
mnatuharibiaga bajet zetu
2026-06-05 13:03:09
2
freenation2061
Dundo.OG :
umatonya😁
2026-05-28 23:51:04
1
scolalyimo
aymtonga :
eti jmn
2026-05-28 00:38:09
1
To see more videos from user @neema.opanga, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About