@branding.danny: Watumishi wa umma kama bei ya SATO inawashinda kuleni hata chura tu, story zenu za kuwasubiri hadi mwisho wa mwezi nimewachoka SATO FREH FROM LAKE VICTORIA 🐟🔥🔥🔥 NB: Hiyo nyimbo kuna mdada nimempiga kijembe, alinidanganya sana, ujumbe umfikie 😅 ORDER ZA FRESH SATO, weka kwa namba hii 0748 940 027
brandingdanny
Region: TZ
Saturday 16 May 2026 12:43:17 GMT
Music
Download
Comments
fifiy beautiful :
ukiachilia mbali na kuwa mtu safi pia ni mpishi mzuli mungu amubaliki mama kwa kweli🙏
2026-06-22 11:06:00
0
nevy :
why jasho lakini😅
2026-05-16 20:10:56
4
sheseimaa :
Upishi paambe
2026-06-21 20:40:28
0
addy@storetz👜👠 :
ila watumish wa umma😂😂😂
2026-05-17 07:07:35
6
kîng vøñ :
sisi tuko tanga boss
2026-05-18 11:39:34
0
V-Legend :
Sasa ndo upishi gan huo
2026-05-17 16:13:42
1
cathyrobby :
😆😆😆 kwan watumishi wa umma walikukosea nn jaman
2026-05-18 14:16:00
0
Mariam Chedy 🦋 :
Ooho jasho kumbe
2026-05-18 15:39:03
1
cocoo24✨💫 :
tuache 😂
2026-05-17 12:09:25
0
dar_handbag :
ipo dukani
2026-05-17 13:38:49
0
B1234 :
nyimbo tafadhali
2026-05-17 12:13:29
0
Connection Designer :
Kileo na watumishi wa UMMA
2026-05-17 12:52:28
0
nyamandemanyama8 :
😂😂chura
2026-05-17 10:22:52
0
Sallie🤎 :
nikaribishe bac na mimi nije kula
2026-05-17 14:59:38
0
Mariamu Sadala :
Health food🥰,,,like it
2026-05-16 17:29:30
0
sar@ gee' :
hatimae watumishi wa umma
2026-05-17 10:16:24
0
Tricy💕 :
Bei ya samaki
2026-05-17 10:18:54
0
Mille :
imeniuma sana kama jirani wa mtumishi wa umma😁
2026-05-17 12:56:34
0
neyswit :
Watumishi wa uma wanapenda kujiamulia mambo
2026-05-16 12:56:24
8
prazey :
Afu ww😂😂😂
2026-05-16 20:54:05
0
Emmy🦋 :
Tutaolewa kweli 😂
2026-06-22 19:05:17
0
user6677127177799 :
umeanza kula mtaji 😄😄
2026-05-16 18:43:11
0
ATU YANGA :
jamani jamani daaaah
2026-05-17 08:56:16
0
Kinda shy✨🖤 :
😅😅😅ila tamisemi😂🙌🙌🙌
2026-05-16 21:00:02
0
tabithergesase :
😂😂😂 mbona Watumishi wa Umma jaman
2026-05-16 18:23:33
0
To see more videos from user @branding.danny, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.