@kusagatv:

MWANDISHI WA WANANCHI
MWANDISHI WA WANANCHI
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 16 May 2026 14:39:17 GMT
137311
3097
414
569

Music

Download

Comments

lily.girl567
Mamy wa B❤️❤️ :
next part plzzzz
2026-07-09 12:05:27
0
shaally001
shaally💪🏻 :
shida sana kujenga karibu na watu wenye roho za kimaskin
2026-05-23 09:58:39
176
dai.david1
Dai David :
Mungu ukinipa maisha nipeleke kwa wenye maisha wenzangu maana masikini wana roho mbaya sana 😁😁😁
2026-05-17 14:59:14
158
mamanyaki9212
happyJava :
umaskini na uchawi vinaendana sanaa jamani 🥺
2026-05-24 17:18:20
64
onelovel11
smart lady :
uza apo uhame my kipenz 😭
2026-05-24 06:18:33
37
ontarget.safari
Ontarget Safari :
camera ni muhim sana ase
2026-05-18 08:57:05
63
cathee961
cathe :
yaani ndo maisha ninayoishi na majirani zangu
2026-05-23 05:47:39
22
ellar67676
ellar67676 :
Oooh Kama sio camera wangemfunga
2026-05-23 18:47:24
26
mariandaskoy
donindasy1 :
umaskini mbaya sana
2026-05-30 15:37:45
7
nasraonce4
Maryam :
Zidi kuomb mungu sana, Huyo mtoto walimleta kimazingra tofauti
2026-05-18 05:26:19
31
user5316235836493
user5316235836493 :
ingekuwa sio camera yangekuwa mengine hebu na mm nitafute camera
2026-06-01 06:19:07
13
user38127935305074
Veronica_lekashu🥰 :
Mungu ni Mwema amekutetea kupitia Camera Zao, Endelea kumwomba Mungu.
2026-05-16 16:36:14
47
ester.mtei5
Ester Mtei :
Mungu amekutetea, umaskini ni shida , funga gate lako kabisa, maskini wanatesa sana
2026-06-01 18:37:37
16
tifashey77
Tifashey7 :
Umaskin na roho mbaya 🙌🙌
2026-05-24 12:00:55
7
sofiahassan335
Sofia Hassan :
nimeacha nyumba yangu huko uswahili kwa mambo kama hayo ni vita mbaya sana omba yasikukute
2026-05-25 19:31:34
7
stability.eyes
💞 𝐄𝐲𝐞𝐬 𝐒𝐡𝐞𝐧𝐚𝐢𝐳𝐚💕 :
Naenda kununua camera
2026-05-22 09:29:41
7
tullybukuku
Tully Bukuku :
shukuru Mungu camera maana ungeisha Dear
2026-06-01 14:57:49
8
ednamushi2
ednamushi2 :
Dada Mwenyezi Mungu ana kutetea sana Wala usiogope
2026-05-23 05:03:53
8
sentaf5kalulu
sentaf :
watanzania tunapenda sana kuhukumu
2026-05-17 11:54:31
14
chubby1379
Chubby :
Pole sana my dear masikini roho mbaya huenda wakati anaingia wanamuona walisubiri kukudhalilisha kwa akili zao za kimasikini
2026-06-01 13:56:29
7
mumyheart
Saumu :
Dah kweli umaskini n mbaya sana pole sana dada
2026-05-17 20:53:29
14
rahmamuh
rahmaWaMuh :
Husda 🙌🙌.hii Hali kama hujaipitia huwezi elewa..pole sana dada..zidisha.Dua.maombi..nyotaaaa..mungu ataepusha kila baya
2026-05-30 20:15:15
6
zariahcollection
Zariah🇿🇲🇿🇲 :
Mungu hajawahi kumuuacha mjaa wake🙏
2026-05-22 19:05:14
7
neecrips
Nee crips :
Dada unaMungu sana..Yaan nimemuona Mungu Kwako. endelea kuomba sana. alafu naomba uhame hapo hama dada ongea na mumeo mhame hapo pangisha..
2026-05-18 07:01:27
13
To see more videos from user @kusagatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About