@mambonilive: The beauty of Nairobi 😍✨ this is the view of our city~and for real, this city must change for the better. Nairobi deserves the best. Mambo ni live 🇰🇪🔥 #Nairobi #NairobiCBD #CityView #BeautifulNairobi #CityUpgrade
mambo ni live 🚨🇰🇪
Region: KE
Saturday 16 May 2026 15:10:41 GMT
Music
Download
Comments
chantanmohammad :
unaweza zoom Hadi Bungoma nione kama maindi imekomaa
2026-05-17 12:11:54
118
Christine Tinah :
wah hio simu si inaeza zoom shida zangu jameni🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-05-16 15:21:32
26
wa Luanda :
Camera yangu niki zoom only 1 meter ni michele naona🤣
2026-05-17 17:39:56
19
singlefather 💔😭 :
iyo camera waka mpaka 2027 wakati wa kura
2026-05-17 03:46:38
17
ALVAREZ K :
hiyo ni phone gani mkuu
2026-05-17 19:15:24
6
TETYO_KE💜🩷❤️ :
umenizoom hivo 🙆😂
2026-05-16 20:48:00
2
TINAH🙏 :
can you zoom 2027 juu huu mwaka hapana
2026-05-17 22:48:00
9
fx 📈📉 trader :
that phone mzee 💯💯💯
2026-05-17 09:50:53
1
𝖆𝖑𝖑𝖆𝖓𝖎,🤞🤘🇨🇦 :
ww n cmu unatuonyesha
2026-05-16 22:19:06
7
OFFICIAL KENZEY :
nimejiona 😁
2026-05-16 22:19:59
2
Bazuu+254 :
nitafute mpaka unione
2026-05-18 05:42:30
1
nuchwayapablo :
Zooming camera
2026-05-17 05:40:29
1
totoprudencekamum :
unaeza zoom Maisha Yangu hivi😂😂😂
2026-05-18 07:41:42
0
salah biuteful :
nimepamiss Nairobi jaman mwezi wa 12 utafika lini nitoke uku tanzana Mimi jamani 🥹🥹
2026-05-18 15:23:37
2
Arap towo :
amazing
2026-05-19 20:08:36
1
shady :
camera 🥰
2026-05-17 03:46:03
1
Denzywiz_dw :
X300 Pro🔥🔥🔥🔥🔥
2026-05-16 21:07:12
5
Christopher Wanajala :
sawa
2026-05-18 10:23:58
1
Ibrahim maasal :
my brother masha allah 💪💪
2026-05-18 04:09:09
1
lasti😍 smiler girl🥰 :
nimeona X wangu Hapo I wish hiyo camera ingekua na risasi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-05-17 11:47:37
4
(ISAA....)@ :
jina ya simu boss
2026-05-16 23:00:03
1
Grace nish :
ebu zoom tena nimeona kaa ni bwanangu na mrembo hapo🥰🥰
2026-05-17 19:26:34
2
www.balozi@ugenya :
hio camera 📸 ni lazima ni OPPO 🤣🤣
2026-05-18 07:22:19
1
Baha Nelson :
lazima ikuwe Samsung
2026-05-18 06:59:59
1
To see more videos from user @mambonilive, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.