huwa najisikia raha sana mwanangu akinitizama uson kwa mda mrefu...hata kama nilkuwa nachat huwa naweka simu chin...nampetpet namwambia mwanangu nakupenda san Mungu akulinde na akuongoze skuzote🥰
2026-05-23 14:03:45
43
givan_225 :
Tumefikiwa 😩😰
2026-06-06 10:49:09
1
MAGGIE🍂STYLISH🌸💜💟 :
nashukuru baba♥️
2026-07-01 09:46:26
1
queenangel :
Ahsante mtumishi ujumbe umekuja wakati sahihi nanyonyesha
2026-05-29 11:29:42
5
Dorry Cutee🥰 :
duuuh jaman huu ujumbe ni wangu kabsa😂
2026-05-25 08:15:39
11
Morine Joseph :
asante kwa ujumbe,mana nanyonyesha🙏
2026-06-12 16:43:13
0
Mwajuussy :
huyu baba kama ananiona vile yaani hapa nanyonyesha huku nipo TikTok ndo nakutana na hii video 🥰
2026-05-24 14:30:42
5
vero :
ntabadilika kwakweli
2026-06-14 09:29:08
1
Mamy Tz🇹🇿❤️ :
Hakika
2026-06-03 15:21:05
1
mimahidriss :
Ohoooooo
2026-05-26 15:15:02
0
Dotto marko :
Aminaaa hubiri la Jana Mungu atufundishe kulea watoto wetu
2026-05-17 09:48:10
5
💚🥰♥️ :
Asante baba mungu aku bariki 🙏🙏
2026-05-30 05:32:24
1
My God is Good :
Jamani raha sana kunyonyesha mimi hupenda kumpigisha story na saa ukimuuliza unanipenda anaitikia mmmm unamwambia nakupenda pia anasema mmmmm, raha sana kupiga nae story hata kama hajibu lakini ktk ufahamu wake anaelewa vema.
2026-05-24 19:33:47
6
V Kidoti 🥰 :
jmniii nlkuaa tktok na gafraa nakutana na post yakoo nmejfunzaa kitu mungu akubarikii mnoo
2026-05-24 08:57:27
7
suzie :
Na wanaangaliaga kweli me mwanangu ananiangaliaga mpaka nasema pengine labda ana shida kumbe ni kawaida
2026-05-21 19:32:14
5
Moh 💙Alvin :
Asante sana❤️🙏🏽
2026-05-25 19:25:07
1
Carlyn :
kweli
2026-05-25 19:19:16
1
la courtoisie :
asante tuta jikaza
2026-05-25 12:30:20
1
Kipepeo :
amina
2026-05-25 08:00:32
1
Glory Kyakwe :
ameeeen baba
2026-05-26 18:26:30
1
Bridget Lafiki :
Amina
2026-05-25 16:07:11
1
prisca :
baba nimeelewa.kuanzia leo nabadilika
2026-06-23 20:26:16
2
To see more videos from user @jiaminimedia, please go to the Tikwm
homepage.