@julieth.kippa: Mwanamke mnene ana confidence. kwa wale wanaotaka kujiunga na group la watsapp la wanawake wanene +255781589093 nitumie meseji nitakuunga tuongee zaidi na tupange mipango ya kuwa tunakutana kila mwezi mara moja tunatiana moyo #MwanamkeMneneAnaConfidence #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #viralvideostiktok #tanzaniatiktok
RAISI WA VIBONGE KIPPA
Region: TZ
Saturday 16 May 2026 20:24:55 GMT
Music
Download
Comments
Joyce :
Wanawake wanene oyeeeeeeeeeeeeeeeee
2026-05-17 08:54:06
387
Mammy wa Flugence :
wanawake wanene mupo??🥰🥰🥰
2026-05-17 16:57:11
55
Veronica masanja :
Asante sana dada umetuwakilisha wa awake wanene
2026-05-17 13:45:26
84
sophia jumanne :
sijutii kuwa bonge 🥰🥰🥰
2026-05-18 08:24:33
19
tara :
wanawake wanene tumefikiwa 🥰🥰
2026-05-17 14:44:33
16
magda07 :
kwanza vibonge hatuna mambo mengi alafu sisi niwatamu mno 😁
2026-05-20 07:15:32
14
Mumy Willy :
wanawake wanenee oyeee
2026-05-18 04:40:09
7
maryjohn172 :
classmet nimekuoenda bure
2026-05-17 21:06:57
5
Moyern :
🥰🥰🥰🥰
HALAFU WANAWAKE WANENE WENGI TUNA MVUTO WA PEKEEEE
2026-05-19 20:36:16
5
user1263919520330 :
umesemakweli mimi mnene napendeza unaweza ukajua ninamahela kumbe wala
2026-05-18 16:49:30
11
Gee laban :
tunajipenda pia
2026-05-17 17:16:23
13
mamkubwa :
apo kwenye moyo wa kuridhika ni kweli kabisaaaa🥰🥰
2026-05-19 11:27:38
9
Cairo_.girl :
nakubali mama
2026-05-17 18:51:32
5
Mnatural :
sisi tunajiamini bana you right my dr 🤣🤣🤣
2026-05-19 04:54:39
5
leilla988 :
🙌🙌🙌🙌🙌 umeonga point
2026-05-17 14:52:14
6
💫🦂essy🖤 :
sema wanawake wanenee Leo tumefikiwa hoyeeeee🥰🥰❤️
2026-05-18 21:45:53
6
manyunyu :
kabisa nateseka mm ninapomwambia mtu sinaela aamini kabisa
2026-05-17 19:26:55
7
Tayna Kilango Mjema🦋 :
hii ni kweli atukurupumi
2026-05-17 14:00:33
5
Yasqah :
vibonge in the house oyeedd🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🥰🥰
2026-05-17 13:52:40
6
Aslm0621 :
Upo vizur Dada 🥰
2026-05-17 09:54:17
13
Non TZ### :
mwanamke mwembamba unaesoma comment mamb0🥰
2026-05-17 15:15:18
9
scola komba :
wewe dada ulijuaje wao jamani nimekupenda hadi bac kweli kabisa,i proud of you🥰🖐🖐🖐
2026-05-17 14:17:55
8
Asia machemba :
umejua kutuwakilisha dada mungu akujalie my wangu ♥️♥️🥰
2026-05-18 06:14:39
5
To see more videos from user @julieth.kippa, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.