Mungu naomba mamamkwe kama mama Joel na mume kama Eric
2026-05-18 08:39:11
11
Monica Alute :
Jana mtoto wa mama mkwe kanikosea nikajikuta naongea Kwa upole km Tina wa AI bas tangu asubuh ananidekeza🥰🥰🥰 kumbe SAA zingine hii misauti yetu inatunyima vingi
2026-05-18 11:30:51
9
Tahiya Ali :
MUNGU anipe mume km erick jamn☺️
2026-05-17 17:32:02
11
Sabrina Bina hinna :
Leo stor imekuwa ndefu nimependa 👌
2026-05-17 18:31:54
13
Riley🌸🦋 :
joel mshenzi😂😂 ila mama ake mzr sana mwenye roho safii sana🥰
2026-05-18 07:46:31
5
marshall :
Jamn nampenda sana mama joel ni mama ambaye hana ubaguzi
2026-05-17 06:37:14
31
deborajems :
tina anamachozi kama mimi jamni😂😂
2026-05-17 18:07:14
10
Lily💓💕 :
Nampenda mama joel sana team erick tunaenda kuzuri🤣
2026-05-17 10:06:58
22
joynes974 :
haiwezekani AI Wapendane afu me sina mpenzi😂😂😂
2026-05-17 11:50:51
16
40❤️🦋 :
Mama Joel ni mzungu sana,moyo safi☺️
2026-05-17 10:03:30
11
Rey alone :
nzur jmn
2026-05-17 13:36:11
5
Fatma Majid :
jaman nzur sana nampenda mamake joel
2026-05-17 06:49:34
10
nadra malik :
jamani napenda kutizama hii film musicheleweshe nyengine please 🙏
2026-05-17 08:18:44
14
Mapenzi Edwige :
mama iko na roho nzuri sana,ubarikiwe mama Joël
2026-05-17 06:48:15
13
suraiyaawadhi :
muendelezo please uje mapema
2026-05-17 08:19:41
5
To see more videos from user @koku.story, please go to the Tikwm
homepage.