@jeykhan2002: HALI NI NGUMU ASEE 😢🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺

_JEY KHAN
_JEY KHAN
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 17 May 2026 07:23:48 GMT
1814241
161830
5916
3625

Music

Download

Comments

mwaipaya
Iringa Fundi TV 📺 :
ivi tukiamua hatuwezi kumaidia huyo mtoto jamani🥺
2026-05-17 08:03:07
1986
salamamapochi
BEI RAHISI STORE🥰 :
Hii nimewaonyesha wanangu wamelia sana,na wameniomba msamaha wamesema hawato chagua chakula tena,na toka niwaonyeshe wametulia tuliiiii kelele zimeisha nyumba imepoa 🥺Mungu amuinue huyo mtoto,anaonekana bright sana Masha’Allah
2026-05-17 08:32:17
3254
jimmyremidius
Bravo Fanesti :
Aise hii life
2026-07-31 19:14:15
0
princess.lee570
💦princess lee💝 :
hadi nimelia aiseee kuna watu wanapitia Allah wape wepesi wakupata rikzi🤲🤲
2026-05-17 12:42:45
1818
imani.imani.athum
shadya :
Mungu anza na huyu kwanza mm nitasubiri
2026-05-17 16:37:59
612
abuufarhan10
abuu farhan :
nime jifunza kitu kikubwa sana " mshukuru sana ALLAH katika nafasi uliopo now "
2026-05-17 07:44:27
469
beatrice.boaz.mbar
beatrice Boaz mbarali girl :
Ni Mtoto mdogooo Jaman 🥺🥺🥺
2026-05-17 13:53:37
347
meilove767
dear mom💦💞 :
walio umia kama mm tujuane🥹🤔
2026-05-18 12:28:35
162
fedsonjifuna8
Rise with Fedson :
bro una moyo wa kuwasaidia kila binadamu endelea ivo ivo mungu atakubaliki one day yes Jesus's please you
2026-05-17 07:28:53
231
johary.kidoti
johary kidoti🇨🇳❤️ :
roho imeniuma sana jamn 🥹🥹😭
2026-05-17 09:30:40
176
phina.samwel
Phina Samwel :
Unawezajikuta unalia
2026-05-31 13:46:27
6
delphina599
Madam phina :
Mungu nipe umri mlefu hekima maalifa niweze kutunza wanangu 😥
2026-05-29 20:17:20
10
aggy3332
Agness Bonephace :
jamani Daa nmelia sana😭😭😭 mimi MUNGU nilindie haka katoto nakuomba Mungu wangu🙏🙏🙏
2026-05-27 19:24:14
10
matrix3752
Matrix...😎 :
Unafanya kazi nzuri sana,brother! Allah Atakulipa kwa namna ambayo hata wewe mwenyewe hutotegemea kabsa yan. Hata mim nakuombea kwa Mola Akulipe ujira ulio mkubwa sana kwa hiki unachokifanya-Aamiin!
2026-06-22 16:26:56
8
user6284574213330
user6284574213330 :
kaka Mungu akuzdishie na hyo mtoto apate msaada zaidi ❤️
2026-05-30 21:16:07
6
allykadoally
allykado :
mung akujalie
2026-05-18 09:56:13
9
www.mtss
🤵 MTS 💫💫 the gentleman 💯💯 :
hizo ndo post zinazohitajika kwenye mtandao pamoja sana kaka big up 👍👍🙏🙏
2026-05-21 16:25:42
8
user9827315518527
Sarah :
mungu akuzidishie kaka ulipotoa
2026-05-23 08:53:54
6
user3435852072481
Osman Comedy Official 💪🥷 :
Mungu amsaidie huyu mtoto
2026-05-20 15:09:36
6
judithmsogoti1
judithmsogoti :
aisee mtafute kaka tutajitahidi buku buku zetu zimfikie 🥹
2026-05-17 12:27:50
799
unbelievable806
No way :
yaraab nijalie riziki na wanao nitgemea ohh😪😪😪😪 mtoto mdogo kama huyu unampa biashara ooh
2026-05-25 10:57:01
13
dansodiosobola
danbass :
nakukubali kaka
2026-05-18 11:23:59
5
salima.tindwa
Salma tindwa :
mungu nimwema
2026-05-17 08:14:47
5
user5429300104703
yasin :
mungu akubariki kaka
2026-05-17 10:33:34
5
lilianjotham
Lilian :
kak Mungu akujalie
2026-05-17 09:18:08
8
To see more videos from user @jeykhan2002, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About