@chussa20135: ##maisha ni upendo na heshima

@chussa
@chussa
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 17 May 2026 08:35:21 GMT
84478
1964
76
1030

Music

Download

Comments

lusajo.holland
Lusajo Holland :
Hii TAG sio ile ya akina Kulola, moto hamna kabisa....!!!
2026-05-30 14:50:54
6
user50793192481358
Jane Mwandago :
kabisa hawapiki majumbani
2026-05-17 16:24:42
6
marwa1524
lucy :
kuna mafundisho ya kuwafundisha hawa warokole tu na mafundisho ya hawa ambao hawajaokoka watumishi wa Mungu tunawapenda san na kuwaheshim maana ni wapakw mafuta na Mungu ila tuwakumbushe kuna mafundisho mengine mnayofundisha yanaenda kufunga milango ya kazi za bwana Mungu atusaidie sana 🙏🙏
2026-06-02 19:24:59
2
agnessnkugwe
Agness Nkugwe :
Mungu nisaidie nisiwahi kuwa mpumbavu.
2026-06-02 21:34:31
1
murexstar007jason
Murex07Jason :
kweli mtupuuu kabisa mtumishi wa Mungu, Amen
2026-06-02 06:39:12
3
user4903101721073
gms :
ameni Askofu
2026-05-22 14:02:41
3
angelsimchimba
Angel :
wanawake waliookoka neno la uzima hilo
2026-06-02 21:22:58
1
johnycornelly
Johny Cornelly :
duh! Mkuu wa kaya afadhari kayaona!!
2026-05-27 14:34:58
2
bright.mwaulambo
Bright mwaulambo :
ukweri umewafikia
2026-05-26 18:19:49
2
user2668187407811
J.amenye :
Wanazingua sana daaaa utakuta wanamheshim mchungaji.
2026-05-31 15:42:04
2
richardchambo77
tunamanda furniture :
100% truth
2026-05-25 11:59:29
1
angelankya345
Pis ya kichaga :
hakuna hekima hapo
2026-06-02 19:21:22
1
ayubusanga4
ayubusanga209 :
Amen baba
2026-05-31 17:52:33
1
eliza_beth2_3
Eliza_Beth2_ :
Mungu akubariki sana Askofu wetu. Hii ipo sana.
2026-05-23 07:28:46
2
halunamdende
Haluna Mdende :
Ameeee
2026-06-02 16:08:51
1
raymondmwati1
Raymond Mwati :
asante baba askofu mkuu
2026-05-27 20:36:02
2
user2297336944610
user2297336944610 :
kweli
2026-05-31 06:16:58
1
esauamos988
esau amos lushingwa :
aiseee
2026-05-21 08:20:31
2
apostle.festu
Apostle Festus :
sasa umeubiri kitu ja muhim sana basta wangu .wengi wameboteza baraka zao mingi sana kwa ukumbafu wao
2026-05-18 18:32:01
3
elickimbepela995
ELICKI MBEPELA :
aminaaa
2026-05-31 15:44:39
1
kyandojustine
TALAMBE HOUSEWARE :
balaa
2026-05-26 13:47:39
1
user10008061871732
[email protected] :
baba kweli et
2026-06-02 08:17:27
1
user7047350480281
Stanslous Mussa Mihuka :
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
2026-05-17 22:07:50
3
user8706381185276
under.B :
hakika ukweli kabisa mchungaji
2026-05-22 20:11:20
2
zakayobakari
zakayobakari :
mtokambali
2026-05-31 14:06:37
1
To see more videos from user @chussa20135, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About