@doc_bruno_afyaa_zone: Replying to @joyce.mgwama KWA MZUNGUKO UNAO BADILIKA 27,28,29 ZINGATIA HUO MCHORO #wanawake #fyp #mzungukowahedhi #tanzania #congo
Doc Bruno Uzazi
Region: TZ
Sunday 17 May 2026 09:40:38 GMT
Music
Download
Comments
Mimi Huwa Siku5 Tu Lakini Naona Huu mwezi kmy jamani Au Kime Umana
2026-05-24 18:13:43
7
user6181938505248 :
mimi apa siku 30,31,32,33,34
2026-05-25 11:19:25
2
father's daughter 🥰🥰 :
mimi hapa reply please nakuomba
2026-05-18 18:01:01
3
maria kilo :
I agree with you
2026-07-09 11:39:36
2
Aneth Mgath :
docto uko wapi please
2026-05-17 17:30:00
3
Aline w :
Mimi apa
2026-05-19 10:01:31
2
Mapenzi changawa :
mimi hata sijielewi tena doctor mara tarehe 5 11 15 27 28 sielewi yani nisaidie
2026-05-27 13:00:38
2
magreth mohamed kizee :
hapo siku za hatar ni zip
2026-07-28 19:49:46
1
deborah deboh :
naomba msaada
2026-06-02 05:57:53
0
gre 🖤🖤 :
naomba nitengenezee ya 25 doctor
2026-05-29 12:08:09
3
yans✨✨ :
mimi apa unabadilika na miezi mingine mara sku 3,4 au 5 nisaidie
2026-07-23 18:39:58
0
stela melikio :
mimi 26 mala 27 28 29
2026-05-28 12:42:51
2
Jojina Msafili :
mim hapa docta
2026-05-23 20:07:34
0
user4730950127548 :
mm sijui naelekea mwisho ,kawaida nilikua na mzunguko wa 28 lkn tangu mwaka Jana nakua na mzunguko wa 26
2026-05-26 14:49:37
2
pretty girl :
mm siku 35 naomba
2026-05-24 12:01:14
1
Lisa Philipo :
naomba ya siku 25
2026-05-24 06:08:50
4
tuma baby 🥰 :
mm tarehe yangu pia ni kuanzia 12 au 16 mda mwengn inabadilka naomba unisaidie na mm apo
2026-06-01 19:56:01
1
Appy Chazi :
mimi ap
2026-05-18 12:59:31
2
sbd_lovely :
Mimi pia huwa ni 24 mara27 mara 28
2026-05-24 19:43:38
1
Anjela❤️ :
mm hapa
2026-05-18 05:39:50
2
Ukhty maryam :
Hubadilika 25,26,27,28
2026-06-09 22:07:54
0
peris Aketch :
Mm Apa
2026-05-18 07:02:16
1
ririani mayondi :
mm hapa docta
2026-05-19 12:24:08
1
Grace :
mim ap docto
2026-05-17 19:17:45
1
To see more videos from user @doc_bruno_afyaa_zone, please go to the Tikwm
homepage.