hii ilinikuta siku moja nilienda kanisani nikatoa sadaka elfu kumi nikajua ni elfu moja mama alikuwa ameniagiza dagaa nikitoka kanisani ninunue hela hilikuwa kwenye pochi nilivyo chukuwa nikajua nimechuwa elfu moja kumbe ni elfu kumi duu ila haina shida 🥰
2026-05-23 17:23:18
1
fetty :
😂😂😂 noma sana
2026-05-23 18:41:32
0
triple A👌 :
uwiiiii
2026-05-18 11:32:48
0
elister 💦📌 :
nimecheka akhii 🤣😂
2026-05-17 17:45:34
0
nuratvijora pambe🥰👌 :
🤣🤣pole sana utapata kutoka kwa bwana sema amen
2026-05-22 08:55:37
0
skoyo Naomi :
dah😁😁 nimejikuta nacheka tu
2026-05-19 09:00:32
0
hafidhjr :
Hamia kanisani, maana kodi tayar umeshalipa..
2026-05-20 11:01:12
0
ester :
😂😂 pole
2026-05-18 08:47:34
0
To see more videos from user @choywillium300, please go to the Tikwm
homepage.