nimejaribu leo na nimeweza jaman ☺️😆 asante sana madam
2026-05-17 12:39:29
55
unstoppable ❤️❤️ :
Mimi na wauza keki sasa bas🥰🥰
2026-05-17 21:40:21
25
@nuh1402🥰 :
hii video nmesubr kwa miezi 3 sas😅🙌
2026-05-17 12:45:57
77
fiolina emma :
hii yangu hapa inapendeza kweli ♥️♥️
2026-06-15 21:41:10
10
Mumi's cake 🎂 :
mimi ndio napika kila baada ya kuisha mwalimu ubarikiwe sio shida zako 🥰🥰
2026-05-18 14:43:25
34
priahrajon :
nakupenda bureeee
2026-05-17 18:46:03
5
Nike mushi :
nashukuru kuna dada amenitesa sana hapa mtaani na mm nimeweza kupika
2026-05-17 18:45:27
21
suzan godlove :
baba punguzaa hiki kipaji babaa🧘
2026-05-25 14:27:15
7
🌸DAINESS🫧🌸 :
Nimejuw kupitia wew 🤣🤌
2026-05-17 12:14:51
8
Mwajey :
Mungu akubariki unatufundisha bila hiyana nami nimejua
2026-05-17 19:26:09
7
Vallentino💖🦄 :
yangu hii hapa nilipenda matokeo
2026-05-23 12:03:59
14
Noella💝💝💝 :
wewe dada nakushkuru Popote ulipo,, nimejaribu kupika hii keki kwa kufuatilia video zako,, yani kama vile nilikua najua kumbe ndio kwanza nimejifunza🙌🙌
2026-05-25 16:44:41
6
Leilah singano :
mungu akulinde🥰🥰
2026-06-20 01:59:35
1
husna :
Asante kipenzi nimewez kwasababu yako 🙏
2026-05-18 14:29:56
5
jasinta agusitine :
dad mm napenda unavo fundish unafundish vzur san🙏
2026-06-15 07:59:17
3
@arafa kitamo :
Allah akuzudishie ww sio mchoyo Mashaallah!
2026-06-12 09:57:56
2
Monica T.G :
asante, kumbe hizo icing sugar inakauka yenyewe
2026-06-23 08:46:50
2
radhiiddjuma :
Asante Sana kipenz nitajifunza soon kupamba
2026-05-23 14:31:15
3
Nuru Baby :
hiyo ice sugar sh ngapi
2026-05-25 15:08:45
0
iris mo :
ubarikiwe san nilikua nataman sana kujua butter cream wanavo tengeneza jaman
2026-05-28 19:22:38
2
khadija🥰 :
@mziwanda
2026-05-21 16:46:39
2
To see more videos from user @nunu_delicious, please go to the Tikwm
homepage.