aisee noma anko 120k mtu anaka simu full box 📦 sijuw wameambiwa na nani kuwa 120k unapat sim fully box afu wajuwaji kinkma 😅
2026-06-02 07:40:27
0
mtu_baki1 :
Ni hatari Sanaa Hiyo usiombee
2026-05-18 10:25:55
2
Lee Istore :
🤣🤣🤣maisha ya kweli
2026-05-18 08:50:46
1
fulgence153 :
nakuelewa sana
2026-05-22 16:28:04
1
GOD_DID_STORE :
Oya htr iyo
2026-05-18 08:16:27
1
ᴍᴀᴜʀᴀx ɢᴀᴅɢᴇᴛꜱ :
Hakika anko 😅
2026-05-17 21:29:19
2
Phones_distributor :
Mmoja kanipeleka msimbazi samsung A52🤣🤣🤣🙌🏻
2026-05-18 11:16:30
2
OG Hub :
jhswuhx8eeuuhduj
2026-05-17 19:58:41
1
manenofabian :
120k ndo sm gan hizo unauza ndo maan n mbovu
2026-05-31 19:08:06
1
peace mobiles store :
noma😂
2026-05-18 06:24:17
0
GHOST TRONIX :
S10 +😂😂😂😂😂😂
2026-05-17 22:26:54
0
OG Hub :
uuii7878iii88xa8z
2026-05-17 19:58:31
0
kalvintronics :
Baba kuna ao ukiwauzia a14 utajuta
2026-05-21 07:18:10
2
Jodam-supply :
mteja mmoja niliwa kumuuzia laptop ya laki Moja , ikawa na changamoto kidogo, e bhana ule JAMA kidogo aondoke roho angu,alikua anapiga simu kwangu, kwa mdogo wangu na kwa classmates wanguu, ule jamaa sijii kumsahau kabisa
2026-05-20 13:03:51
2
kimihd1311 :
wateja wa iphone kumamae zenu😂
2026-05-19 12:43:30
0
DREYSON47 :
Kwanza utapigiwa simu kama 200😁😁 za maelekezo
2026-05-18 11:37:44
1
Mdoe_tronics🛍️ :
Wagaa jauu sanaa😂😂😂
2026-05-18 12:39:27
1
COAST-PHONETZ :
hasa wamasai wanajaaadukani
2026-05-18 12:18:46
1
TikoUjenzi :
Watu wanatofaitiana Vipato, Uyo wa Laki moja inaezekana ndo 4M yake ,so it's normal
2026-05-17 19:06:33
0
Juma Mabeti :
usimpangie mtu ,kila mtu pesa anatafuta kwa njia yake
2026-05-17 21:39:01
1
OG Hub :
🔥
2026-05-18 10:56:48
1
KARIM ELECTRONIC STORE 🚚 :
😂 msimbaz pls
2026-05-20 09:50:40
1
To see more videos from user @yakin_istore, please go to the Tikwm
homepage.