@herimpembegmail.com: 🕌 DUA YA KUINGIA CHOONI اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنَ الْخُبُثِ وَالْخَبَائِثِ “Ewe Allah! Najikinga Kwako kutokana na mashetani wa kiume na wa kike.” 🤲 Tusisahau kuanza kila jambo kwa kumkumbuka Allah ﷻ. Hata kuingia chooni ni Sunnah yenye malipo makubwa. ✨🚪 #Uislamu #IslamicReminder #IslamicStatus #duayakuingiachooni