najivunia kuwa mtanzania sababu kunawaty awalali wanatulinda ili tuishi vizur naomba kwa mungu nipate mume mwana jesh ili nimliwaze kwakazi anayo fanya ningum san mungu awalinde wana jesh wote awape nguvu ujasili usiyo vunjika na imani iliyo zatit
2026-05-18 16:53:22
51
NOREEN HEAVEN LIGHT :
Mungu awalinde wanaJWTZ muwe salama
2026-06-03 12:45:31
32
IMARA MINING TOOLS & HARDWARE :
[Sticker]
2026-06-25 21:33:02
23
@rahimually🌻⚡⚡ :
watu wa mungu 🙌
2026-06-06 15:03:30
8
CHRISS~BAD🐐🤟🏽 :
oy nakukubali sana mwanang
2026-05-17 17:00:44
7
Alfred Aloyce :
nilijua kichaka kumbe wajeda 🫡🇹🇿🇿🇲🫶
2026-06-05 17:10:30
6
Wilfred :
saluti wanangu
2026-07-01 07:44:02
4
shay2026 :
Mungu anilindie kijan wang
2026-05-17 23:02:29
5
Shabani Mussa :
yess
2026-06-06 10:22:51
2
It’s Dayyah 🤎🩶 :
Napend San wanajesh❤️
2026-07-09 09:36:48
3
scooter :
bravo
2026-06-05 17:33:24
2
FIRST SAMUEL :
Wanetu wachaka tu chaka, Nakubali Familia
2026-06-20 08:28:48
4
mapilau :
Mungu awatunze
2026-06-07 04:21:38
3
sonaa85444 :
apo mume wang hata sikufaham
2026-07-29 08:50:37
1
Baibo🍒 :
🥺🥺
2026-06-06 09:45:31
1
shaining star :
cahh
2026-06-10 12:22:05
1
🦋naillah naylam💓💗 :
Amani amani
2026-06-06 16:38:11
3
johan :
daaaah
2026-06-11 07:46:18
1
jolizzy❤🎀🫧 :
may god guide you always ❤❤
2026-06-24 10:55:34
1
BAASS WAMEKWISHA :
mungu awape nguvu na afya njema.mungu awalinde kwa kila baya.
2026-06-24 07:25:43
6
Dreamer 🍁 :
Mungu awalinde
2026-06-04 15:59:26
1
warrior👧🥰 :
jamn leo vipi mbona na kutana na izi video 🤣🤣🤣
2026-07-16 10:24:17
4
xpizzy9 nine :
nyimbo hii ni Mali ya jeshi fullstop
2026-06-12 09:51:41
3
Pelesiana Labda :
kwani mnaniona
2026-06-07 06:14:54
1
Baby boy :
meloon💯💯💯💯💯💯
2026-05-22 08:34:10
2
To see more videos from user @mr..army.tz, please go to the Tikwm
homepage.