Yeremia 6:16 (Biblia Takatifu) Bwana asema hivi, Simameni katika njia kuu, mkaone, mkaulize habari za mapito ya zamani, I wapi njia iliyo njema? Mkaende katika njia hiyo, nanyi mtajipatia raha katika nafsi zenu. Lakini walisema, Hatutaki kwenda katika njia hiyo.
2026-05-18 02:01:30
10
jaliaviwanja :
Daaaaah umeongea point sanaaaa Yan
2026-07-07 21:25:38
2
isaya fortunatus :
umeongea kitu sahihi sana...sikuiz maisha yapo tofauti kabisa na zaman
2026-05-17 17:55:23
7
__Itzdee :
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
HII YA MOTO SANA NAIFATILIA SANA
2026-05-17 16:28:14
3
Nibishaka Julius :
Mimi myezi 3 haikuishaka
2026-07-05 15:55:18
1
Chatafarm :
Hiii Imekwenda
2026-05-17 21:25:02
0
mohamed bi seif :
mm nina miaka 24
2026-05-18 09:42:39
0
gonjaboy :
daaah kama mm
2026-05-18 11:56:22
0
binti_ya_kristo :
Neeema ya Mungu na iwe juu yangu🙏🙏🥰
2026-05-22 20:56:26
0
Cwrypie🥰 :
Fact
2026-05-22 12:46:17
0
harawa furniture :
hongera kaka
2026-05-17 20:48:10
2
gonjaboy :
kweli kaka mungu ndio kila kitu
2026-05-18 09:37:02
2
Robby art :
hamlisali anasikiliza kwa makini sana . safi
2026-05-18 05:05:46
4
SMILEY :
Exactly 💯
2026-05-17 16:26:07
4
Joseph Mutono :
kk niko congo 🇨🇩 namipataje what's app?
2026-06-04 19:52:25
0
mvile :
kwel brother ndoa kama bet sema ndoa haina cash out
2026-05-18 12:40:50
0
user632607028303 :
💯
2026-05-18 11:38:22
0
MR.MPOLOKOSO🥺🥺😏😏 :
🤝🤝🤝
2026-05-18 10:48:48
0
I_AM_PETER TECH :
✊✊✊
2026-05-17 17:42:49
0
Elite :
😁😁😁
2026-05-17 22:39:26
0
nurusam :
🙏🙏🙏🙏🙏
2026-05-20 04:55:50
0
To see more videos from user @letsimpactmillions, please go to the Tikwm
homepage.