@roc_tv: kama haujawahi kusahau hata kidogo kumshukuru MUNGU weka comment yako hapo chini #tiktokkenya🇰🇪 #tiktoktanzania🇹🇿 #gospel #goviral #viraltiktok
Nampendaga Huyu dada na huyu kaka jamani kiusema Kweli namuomba Mungu na Mimi Hayo Mafuta waliyo nayo katka kwaya ninazo hudumu Sauti zisizo na vurugu bila kujitambua with consinsetence uniqueness na ufundi wa Nguvu na mamlaka .Najiungamanisha.pia na huo utunzi wao kutoka kwa MUNGU Uvuvio huo najimirikisha.Amen
2026-05-18 04:15:09
48
Princes Isary :
my favourite song 🎵 ❤️
2026-05-18 14:05:14
39
🅃🄾🄽🄽🅈🄹🄰🄷🇹🇿 :
WIMBO WANGU WA NYAKATI ZOTEE🙇🙌🎤🔥🔥
2026-05-18 04:03:37
27
cherry🍒 :
imenifanya siku yangu iwe nzurii leo mbarikiwe sanaa
2026-05-18 07:42:51
21
Domy hosea :
kama unaupenda huu wimbo gonga like
2026-05-25 06:35:39
18
msauz19@golden :
ufunuo choir
2026-05-18 18:14:17
16
Mrs Syl🥰 :
Favorite song 🎵 jaman nabarikiwa sana kila napousikiliza huu wimbo
2026-05-18 04:55:38
16
princesshajilloga :
My favorite song 💕💕💕💕💕💕
2026-05-18 08:54:11
14
ivonah :
Tunaomba utuwekee youtube 🥰
2026-05-17 20:05:47
13
Laurie :
hongera dada una sauti nzuri
2026-05-18 16:41:54
12
evgeorge :
I lov that song so much
2026-05-18 05:55:51
11
ney_design64 :
favorite song 🥰❤️
2026-05-17 20:40:10
10
RAISI WA VIBONGE KIPPA :
Mie huu wimbo ulikuwa katika play list kwa mwezi mzima...Anointed and prophetic song 🎵
2026-05-17 22:41:30
7
sarahbrown@💕 :
Haijachujwa hiyo asee Mungu akutunze Dada
2026-05-18 06:06:23
7
Grace Frank :
ila bebe ana sauti jmn dah
2026-05-18 08:13:03
7
grey willies :
hakuna zaid ya rocktv
2026-05-18 08:56:33
7
miss resty :
sito sahau Hata dakika moja kumshukulu Mungu
2026-05-18 06:10:01
6
nicodemukalinga :
Kuna watu wana sauti jaman
2026-05-18 07:51:30
6
Zoey :
My word always "katika mema yako...na katika mafanikio yako...wala usiseme moyoni mwako nguvu zangu na uwezo wanguu...ndiyo ulionipatia utajiri huu....bali mkumbuke bwana wako maana ..ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri ...ili afanye..imara agano lake bwana Mungu"
2026-05-20 11:32:35
6
prophetess happy Oscar 💞🙏 :
Moyo wangu usimsahau Mungu 🥰🥰
2026-05-19 07:31:40
6
nehy.jonnie :
moja ya wimbo wangu pedwaa barikiwa sana
2026-05-20 07:16:29
5
millymo202 :
kgm hapatok wajinga dada sarutiiiiiiii🥰🥰🥰
2026-05-18 08:28:24
5
To see more videos from user @roc_tv, please go to the Tikwm
homepage.