@salimmwachapuo: #fy #tiktoktz🇹🇿 #diamonds

SALIM
SALIM
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 17 May 2026 22:13:57 GMT
679078
38926
859
862

Music

Download

Comments

amy39701
amy :
Wale tulofanya Zaid ya hapa na tukaachwa gonga like 🥰😂
2026-05-19 07:44:49
663
feysal549
Toto :
NAKUPA USHAURI MFICHE USI MTANGAZE WENZIO TUNA TESEKA TUTAKUIBIA
2026-05-18 15:59:33
444
user2660371847377
Brighton 🤜🏿🤜🏿 :
god kama hyoooo
2026-06-19 18:48:23
0
magreth.julias4
Maggy Julias🫂 :
Hii nikwamwanaume ambae amekupa nafasi kwenye moyo wake nawewe ukaumpa Amani 🥰
2026-05-18 11:49:14
341
naina9599
~naina💞🇹🇿🔥🇴🇲 :
Aya mama safisha. Ikambebe mke mwenzio safari gest😁
2026-06-15 11:30:43
43
beingtaty69
beingtaty ❤️ :
Nikikumbuka 😅 nilifanya hv Aaaa wallah 😅😅🙌h
2026-05-18 17:04:38
36
big_sis34
big_sis💕 :
nikikumbuka nilishusha hadi engine...nachoka mimi
2026-05-18 18:10:43
13
dalalirwambo
rwambobrocker :
30 kwa 30
2026-05-19 04:14:56
7
farikwe.kwezi.jr
Farikwe kwezi jr. :
Kaka nje uku kwa moto mtunze sana uyo na umthamini sana❤️❤️❤️
2026-05-18 17:51:44
18
89maryrichard
💞@mary Richard 💞 :
kikikumbuka adi gari yake nilikuwa naoshaa wee sirudii kwakwel 🙌
2026-05-18 17:57:09
25
dayanarosekeneth
Deeee :
Mungu akikupa zaid usije sahau ulipo toka na mwenzio🤞
2026-05-18 15:22:25
15
user2427380080302
[email protected] :
hongera brother ila kitunze na kukificha kinachokupa furaha pia km ana ndugu yake nipatie maana sio kwa mateso haya ninayopitia
2026-05-19 08:19:44
25
timetravelexpart
Time Travel Specialist 🌠🌌☄️ :
endeleen kuamini maisha ya kuigiza humu TikTok mm nipo pale nawangoja
2026-05-19 06:58:18
12
brandy.kado
Fahad :
Nillimuosha ad yeye lkn wapi 😅
2026-05-19 10:57:05
18
gugocarz
GUGOCARZ🇹🇿 :
maisha ya kweli ✌️
2026-05-18 05:53:53
9
pilotchialo
CLEARED FOR TAKEOFF🛫👨🏾‍✈️ :
Daaah ! MUNGU Fanya na mm wangu awe na moyo kama huu❤️❤️💯
2026-05-18 15:17:17
6
dinahenry5
Dior🔵 :
niliosha sana bajaji😅😅
2026-05-19 11:32:58
6
queenly67
queenly :
daaaah🥺 me ninan kwan
2026-05-18 15:30:51
5
mallya_27
Mallya_27 :
Hataukidai hela ya dela lazima upate mama🙌🙌🙌🙌🙌🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️😍😍😍😍 Kwan wenzetu mnawapataga wap hawa
2026-05-18 17:06:07
8
user32665109369503
@user32665109369504 :
kaka respect 🫡🫡🫡🫶
2026-05-27 07:46:22
1
mohamedjonas258
Mohamed Jonas :
nimesisimk san
2026-05-19 14:59:55
1
user32665109369503
@user32665109369504 :
linda hiy kiumbe
2026-05-27 07:46:37
2
denisi.elirehema
TIKTOK DOLLARS :
mungu nipe kama uyu uyu mwenye kusapoti arakatizangu
2026-05-18 20:24:07
4
To see more videos from user @salimmwachapuo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About