@sallin_decor: Yani hii Ni uwekezaji mdogo wenye heshima kubwa mjini! Hapo ndio unabadili sebule yako kutoka "Kawaida" na kua "Whaooo!" bila kutumia Gharama kubwa. ✨ Kwa Tsh. 170,000 TU. Ua hili Ukiliweka kwenye nafasi lanaleta ile "Cozy Vibe" ndani ya Sebule/ofisi yako utafanya wageni wasitake kuondoka kwako. 📲 Karibu WhatsApp: 0763356038 📍 Location: Tabata Segerea #tanzaniadecor #homedecor #artificialflowers #maua_ya_decoration #ua_la_sebuleni