Subra is the hardest test ever, May Allah grant us patience...🤲
2026-05-18 12:01:40
168
Scarlett :
mungu anawatu wake mwaya. Nimeomba mpk nimeacha miaka nayo haikusubiri.
2026-05-18 13:47:53
61
sofia :
34 now am still waiting God luck
2026-05-18 17:19:58
29
bby swau :
kuna kusubiri lkn sio hadi miaka 40
2026-05-19 11:54:55
19
Marcelina Mao :
yaan baba barikiwa mno maan unanisema mimi
2026-05-18 11:06:42
52
conny faith :
37 Bado nasubiri mungu
2026-05-19 06:52:09
24
Rahma Anamy :
Mungu atupe subra ya kutosha🥺🥺🥺🥺
2026-05-18 17:47:10
17
Lizy Chami :
38 yrs now and am still waiting 🙏
2026-05-20 19:13:10
5
𝐇𝐀𝐖𝐀𝐋𝐋𝐀𝐓𝐘❤♊ :
Tunasimangwa jaman na hizi familia zetu tunaonekana ni kama hatutaki lkn wansahau kuna Mungu ambae anampa kila mmoja kwa wakati wake
2026-05-20 09:24:36
5
Elizabeth Amenya :
nasemwa adi nimezoea 30 sasa jamani😭
2026-05-18 19:27:25
16
Annamarie :
wakati wa MUNGU Ndio wakati sahihi, nko nasubiria 😭😭
2026-05-18 13:22:34
94
✨Lovi’e_beauty🦋💕 :
Mungu hachelewi wala hawai atajibu kwa wakati
2026-05-18 16:11:22
16
Zulhalym💜🥀Virgo Girl♍️ :
Wakati wa Mungu ni wakati sahihi🤍🙌🏼
2026-05-20 15:40:35
5
Diana Vicent :
zamani nilimunungunikia sana MUNGU kuhusu kuolewa lakini Sasa sinamda wakulalamikia kuolewa ikitokea sawa isipotokea pia it's,ok na fokasi na kutafuta pesa ilipo na ninaamani mingi moyoni .🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-05-22 00:34:20
5
GrainLink Tanzania 🌾 :
subra subra huzaa kheri
2026-05-18 14:45:09
16
Antonina Vavunge :
ngoja nienderee kuomba ,Mungu mwema
2026-05-19 11:10:50
6
Rose✨ :
huyu Baba ana vitu vikubwa mafundisho mazur sana barikiwa sana🙏
2026-05-18 10:12:11
35
am irynlove 🤍 :
Mungu wangu kaza izo fyuzi
2026-05-18 16:06:00
9
Hello beauty product :
Watu kama hawa ndo tunawahitaji kwenye enterview wanatupa moyo sana 🙏🏼
2026-05-19 03:29:54
6
angelselewin :
I needed to hear this for really 📌💯🙌
2026-05-18 11:47:33
9
ukuta wa yeriko :
Amina mtumishi nakuelewa vizuri sana
2026-05-18 11:38:17
7
To see more videos from user @heaven_on_earthtv, please go to the Tikwm
homepage.