@victor_mwambene: ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐
๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐. . Kama unataka kujifunza mambo mengi kuhusu Uwekezaji huu wa Pamoja karibu katika Darasa langu kwa Njia ya Mtandao ambapo tutajifunza Mifuko bora ya Uwekezaji wa Pamoja Tanzania. . Nitakufundisha Mifuko 6 inayopatikana ndani ya Taasisi ya Utt Amis, Mfuko wa Umoja, Wekeza Maisha, Watoto, Jikimu, Ukwasi na Mfuko wa Hatifungani, Nitakufundisha Jinsi ya Kuchagua Mfuko bora wa Kuwekeza utakaokupa Faida ya Uhakika. Pia nitakwambia Sababu kuu 2 za kwanini watu wengi wanapenda kuwekeza kwenye Mfuko wa Ukwasi (Liquid Fund) kuliko Mifuko mingine. . Sasa ili kuelewa Mifuko hii vizuri na kujua mfuko bora zaidi wa wewe kuwekeza utakao kupa faida kubwa basi Karibu kujiunga na Mafunzo yetu ya Uwekezaji wa Pamoja kwa njia ya Mtandao wa WHATSAPP kuanzia Tar 1 hadi 4 mwezi wa 6, Gharama ya Mafunzo kwa siku zote 4 ni sh 35,000 tu na kama utajiunga kabla ya Tar 25 May basi utajiunga kwa 25,000 tu, Ofa hii ya 25k ni kwa watu 30 wa Mwanzo TU. Tutajifunza kwa njia ya Maandishi (E-Book) na Sauti (Audio Clips). . Popote ulipo Tanzania na Duniani unaweza kushiriki Mafunzo haya kwa njia ya Mtandao, Wahi Ofa kwa Kulipia kwenda Airtel Money - 0784862424, Jina Victor Mwambene, Kisha tujulishe kwa 0744126640. . @moneytalk_tz
CFE. Victor Mwambene
Region: ZA
Monday 18 May 2026 05:19:00 GMT
Music
Download
Comments
officialgenia :
naomba uniunge no
2026-06-11 08:42:28
1
magreth-laizer :
๐๐๐ namaelezo ya kutosha
2026-06-01 07:37:44
0
bosslady :
naomb uniunge kwenye group la mafunzo
2026-06-11 07:33:06
0
kumulaaa :
kaka mafunzo ni siku gani
2026-06-03 07:35:38
0
BRAYSON Focus :
pesa ya. nan
2026-06-12 14:15:07
0
gody nguli :
๐๐๐๐ค๐ค๐ค
2026-05-24 17:12:27
0
To see more videos from user @victor_mwambene, please go to the Tikwm
homepage.