@mtondooibrahem: Ya Allah tunakuomba utuhurumie waja wako dhalili wakosefu na utusameh madhambi yetu na utujalie mwisho mwema pamoja na pepo za daraja za juu 🤲🤲🤲
Ya Allah tusameh waja wako wadhaifu hatuna cha kutegemea ispokuwa huruma yako ya Allah tujalie tuwe ni wenye mwisho mwema pamoja na pepo za daraja za juu 🤲🤲
2026-05-18 08:36:39
39
ashuu :
kitabu kinaitwaje
2026-05-18 14:36:55
4
mbwariog8 :
mwenye hii Audio nzima anitumie jmn😥
2026-05-18 19:48:20
3
hawaa😘 :
hikii kitabu kinaitwaje jamn naipenda sana hii dua
2026-05-18 16:23:55
1
nawwar sultwaan :
🙏🙏🙏hiki ndio kitabu anasomewa mtu aliefanya mazambi makubwa mpk akawa anamabalaa na matatizo makubwa sana hata akawa kasha kata tamaa kwaio kikisomwa kitabu hiki kiwe na hizbul Bahar na kitabu cha wasilatu sshafiy basi mtu huyo atapoa na kama sio wa kupoa bas atakufa kwamani na hata kama akafungika vipi atafunguka bi idhnillah lakini akitoka apo aache madhambi Tena insha Allah tunasomea duaa hizi
2026-05-18 18:21:57
12
Yahaya Kwayu :
assalam alykum hii dua ip katika kitab gani
2026-05-18 16:47:05
0
biasha :
Assalamu Aleikum warmatullahi taala wabarakatu mashaallahu mashaallahu mashaallahu ya Allah tukabaliye dua zetu na utuhifadhi katika hazina yako na uwasamehe Waze wetu na sisi sote pia.allahuma Amin.umuhifadhi mwalimu wetu duniani na kesho Allahuma Amin.ya Allah YA Allah. ya Allah.Amin
2026-05-19 04:42:58
1
Mr.alaadin :
😭😭😭Min kulli dhambii tubnaa ila Allah🤲🤲🥺
2026-05-20 06:13:31
3
hadad :
Tafadhali jina la kitabu,Mungu akujazi kila la hkeri
2026-05-19 05:24:16
3
بن محمد 🦁 :
naomba jina la kitabu
2026-06-09 17:20:09
0
Zainab Mtitu :
allykum nmesikiliza iiyo duh mpk nmelia jaman quruan tamu