@emmanuely136: #trending

EMMANUEL 💥
EMMANUEL 💥
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 18 May 2026 12:25:10 GMT
447381
18169
1029
2397

Music

Download

Comments

gmeen26
meen💜 :
ndomaan matajiri wanataka matajiri wenzao maskini wanamaneno mengi sana na roho mbaya na chuki🙌🏾
2026-06-02 07:06:28
691
priya_stevenyerere
Priya_stevenyerere :
Kweli sio wote wanaenda jela wanahatia 🥺
2026-05-30 20:32:24
588
mika_c63
mika_c63 :
usikae karibu na maskini 📌
2026-06-02 15:21:44
286
nifferdiva
Amor Davina :
Ila Maskini Tunakuaga Na Roho Mbaya Sana Asee, Hapo Shida Ni Hali Nzuri Ya Maisha Ya Huyo Dada🙌
2026-05-19 08:13:23
420
cuteelly_1
Elizabeth Kubila :
hakikisha unasali watu hawakupendi🙌🙌
2026-06-02 12:18:11
266
kamestz01
KHAMENEI :
Umaskini haukai mbali sana na roho mbaya ,pole sana
2026-06-01 14:17:37
387
user58438476530098
mummy :
aibu naona mimi😅😅
2026-06-01 08:23:40
191
kambrighton77
Kam Brighton :
hata waliopo jera ni mungu tu anajua
2026-05-24 07:47:15
276
ebonyac
ebony♈️ :
Mungu akiwa upande wako 👌👌majirani mhhh🙌🙌🙌
2026-05-19 10:51:40
314
kman.17.kemodaa
kman.17.kemodaa :
bila camera ulikua umeisha😂
2026-05-30 08:13:34
265
mosess047
𝘽𝘼 𝙈𝙎𝙀𝙇𝙇𝘼 :
sisi masikini tuna maneno sana ndio maana tunatengwa kila mahali
2026-06-02 08:13:08
94
lexlyrics.tz
✍️𝕃𝔼𝕏_𝕃𝕐ℝ𝕀ℂ𝕊 🎙 :
daah nyumba kuwa na camera ni salama sana😔😔😔
2026-05-20 11:07:40
150
user6802702818308
aziz mkumbo :
umasikini ni laana
2026-05-31 11:26:19
90
user5840201838136
Rey mlela :
ombo sana isikukute kesi ambayo shaidi yako ni mungu pekee tuombe sana Dua mungu atusaidie
2026-06-02 12:52:46
59
alvarez_47000
@alvarez_47 :
kumbe cctv zinasaidia😅
2026-06-04 14:33:05
16
mr.viwanja_dodoma
Mr. Viwanja Dodoma :
Umasikini sio Kukosa Fedha, Umasikini ni Roho na tabia. 🙌
2026-06-02 10:55:12
21
chad_mbugi
chad_mbugi :
Masikini wana hasira sana 😂
2026-06-03 09:57:28
8
faithhair7
Faith hair 👱‍♀️ :
Wameumbuka duh Ila majirani🥺
2026-05-18 14:00:16
419
userlivunest
SINA SHOBO :
imetokea mchana mchana mda wa jioni
2026-06-04 07:08:47
7
munty6869
munty :
kama unamaendeleo jitahidi kutafuta eneo la wapenda maendeleo wenzio ..... Mungu amemlinda huyo dada
2026-05-19 19:32:33
158
tinah.ivan7
Aiem tee🧿 :
Mchana mchana mida ya jioni
2026-06-02 12:54:28
41
fatiinase1
Nasejoy og :
hongera kwa kumsafisha huyu mama jirani wabaya jamani
2026-05-19 08:44:31
97
arcadoblazi
arcado :
tatizo umasikini
2026-05-19 12:10:14
130
user716125338342
tina💞 :
Mimi ni masikini lakini tunapendana sana na jirani yangu tajiri🥰🥰
2026-05-31 19:26:30
68
To see more videos from user @emmanuely136, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About