@sailortz2311: 🕊️⚓️🌟#zanfastferries #azammarinefastferry

sailortz2311
sailortz2311
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 18 May 2026 14:32:59 GMT
432322
15915
346
483

Music

Download

Comments

patrickkodi2
patrickkodi2 :
bora Azam amepata mshindani Maana ukienda ofisini kwao walikuwa wanalinga sana
2026-05-19 07:01:01
176
philbert.clemens
Philbert clemens Mbanga :
ivi kamera mani amesimamia upande gani??
2026-05-19 11:54:34
90
marian.nyisoti
Milly✨🇹🇿🇴🇲 :
ipo siku tutakuja kulia
2026-05-19 04:51:35
69
yesmi144
꧁࿇MINI🌸TZ꧁꧁࿇ :
Dadeki mambo hayo mm ndo nayependayo😅😅😅kushindana
2026-05-19 08:15:45
48
fatima_faty_530
fatima_faty_530 :
hio ndio kazi sasa bahari imekua kama uwanja wa mapambano kiukweli Mola tupe salama waja🤲
2026-05-19 05:46:08
42
realsavio22
hitison :
Azam ni kama arsenal tu
2026-05-18 16:40:45
21
bonymbilinyi
bonymbilinyi :
michezo Hadi baharini aaaweeeee
2026-05-21 15:20:00
6
enosreal406
UNIQUE JEWELRY :
Mmh hapo si zebra mbna speed 🚄
2026-05-19 13:44:40
7
barakakayungilo37
baraka kayungilo🅱️🇺🇬🇺🇬 :
tulafk hamna kwani,,?
2026-06-05 13:24:42
4
qween.kiluwa
qween kiluwa :
wanapenda kujiamulia mambo hawa☺️☺️☺️
2026-05-19 06:23:41
14
dablack82
da black :
muangalie na usalama sio mnaanza kutapikiana
2026-05-19 20:13:07
7
huruma550
Huruma :
jaman huko msinipeleke kabisa maana naogopa maji
2026-05-29 12:41:38
4
user3834588199188
Ney moshi🏖️🏖️🌹🌹 :
kwani kamela 📷📷mani kasimama wapi jamani
2026-05-23 10:43:32
3
user18402257493345
geof master 02 :
utaaacha ndala
2026-05-29 13:06:59
2
lazalokilangi828
Lazalo Kilangi :
kama Simba na yanga hapo
2026-05-30 17:51:49
3
mashauri.matambo
Mashauri Matambo :
mim naona zote zinatembea sana
2026-05-20 19:56:09
6
user1131395376390lueha
upendoarden :
Hii kitu me I like ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-06-10 09:09:43
2
rodangonyani
Roda Ngonyani :
kuna watu wanacheza na roho za watu
2026-06-10 13:02:41
1
deon_ki
Gee :
Acheni ku fast forward, sawa tunajua kuwa inakimbia ila sio hivyo
2026-05-19 06:11:01
8
makaranga.1
makaranga 1 :
utacha ndala
2026-05-31 17:29:27
2
godwin.mombek
Godwin Mombek :
kwani uko akuna.50.au
2026-05-29 10:41:06
1
nahlatysalumkhami
Abdul m❣️💞💕💖💘 :
Pemba iyo
2026-05-19 15:04:54
5
user3869254970592
user3869254970592mtu wa mungu :
Kamera Mali yuko api☺️☺️☺️😊
2026-06-06 17:13:38
1
sur.bbh
Sur Bbh :
Ahsant
2026-05-28 07:53:37
1
zuba62906
Zuba show wk :
kagi ipo
2026-05-29 06:34:10
1
To see more videos from user @sailortz2311, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About