mnatuonaje 10 to 1.2 profit, betting 10 to 20 one Day
2026-05-19 09:18:47
7
silvio :
withholding tax
2026-05-30 07:16:40
1
Bato :
Hv seriously 10 millionn unawekeza sehem ambayo unapata asilimia 12 ya hiyo pesa‼️kwann nisiende kulima pesa ifanye cycle tu
2026-06-16 21:35:17
1
Scene Stealer🎬 :
Da Rehema ninapenda madarasa Yako. I feel so proud huu mwaka na Mimi nimekuwa mmoja wa wawekezaji. Asante sana mentor wangu.
2026-06-22 11:52:52
0
Evaline :
jamani mwaka mzm ndiyo napata hiyo
2026-05-19 17:43:26
1
Benno :
kwa siku unapata faida ya sh 3,333,je wewe upo tayari kupata sh 3,333 kwa siku kwa mtaji wa milioni 10 ili kwa mwaka upate milioni 1.2
2026-06-06 15:35:43
0
saiditwalibu92 :
Nimependa KIFUA chako 🥰
2026-05-20 19:54:47
0
user6618236310243 :
lowest profit
2026-05-20 05:53:26
1
Jonahside :
Nice
2026-06-18 21:34:14
0
user6156703432814 :
mtoto anahitaji huduma ya mama jaman ila sie tunahitaji somo lako zaidi
2026-06-08 09:52:31
0
sise :
IVI WE DADA UNA AKILI KWELI 😂😂😂😂😂
2026-06-21 15:44:12
1
cheus gunda :
Dada nakukubali saana
2026-05-24 14:22:12
0
Amanizooo :
Compound interest 💯
2026-05-19 05:08:34
0
Islamic Tips 🌙 :
yeaaaaah
2026-05-21 04:49:56
0
midolitz :
wazee odds hawakoseni hapa
2026-05-19 17:53:52
0
Hamza :
ww umewekeza ngp?😳
2026-05-25 20:17:35
0
Niver Willy :
Asante nimeelewa mm nilikua napigia tu 1.2 ya kila mwaka kumbe nakosea
2026-05-19 17:57:20
0
user2777532983316 :
nakubali dada
2026-05-19 17:38:54
0
Lisa muhindi :
Mhhh
2026-05-19 14:20:12
0
Victor Kessy :
Sawa Dada Ray🔥
2026-07-03 16:45:27
0
MŘ Îşmæl³9💫 :
we sema tu mabank yanataka mtaji 😳 mbn unazunguka sana bext
2026-06-02 17:51:20
0
EA TRANS :
ntawekeza kwako faida assilimia 90
2026-05-26 21:53:17
1
Boss nyerere :
Dada nibora ninunue mchele wa milioni 20 mwa moja ntapata milini 5 faida
2026-05-19 01:06:33
4
Merry Titus :
hii n nzuri tu kama hela haina kazi, ila mm nilishindwa kuweka mil 1 nipate 120000 kwa mwaka mzima,,,, nilichokifanya nilitafuta wateja wakuwakopesha kwa riba ndogo tu 10% per month, na sasa natengeneza faida kubwa tu na wateja nimepata though inahitaji u take risky ☺️
2026-05-19 11:20:21
3
To see more videos from user @rehema_and_finances_, please go to the Tikwm
homepage.