inshallah Allah tusamehe sisi 🙏 hakika sisi ni wakosefu kwako ameen inshallah😳🥰🥰🥰
2026-05-20 11:34:03
5
Fidho Platnumz :
NAAM SHEIKH
2026-06-08 04:46:41
0
thary beauty :
upo sahihi shekhe
2026-06-05 05:03:34
0
Khadija :
ya Allah nakuomba unijaliee mume mwenye kheri na Mimi 🤲🤲🤲
2026-06-07 20:22:43
0
jaji :
subhanallah, Allah aniletee menza mwema
2026-05-23 18:31:57
2
yahya :
kweli shee
2026-05-18 19:07:26
2
phine299 :
daaaah kwel
2026-05-24 19:42:06
2
Tina Kahati :
Upo sahii sherkh natmn huyu nilia nae Allah anijalia awe sahii kwng 🤲🤲🤲🤲😥
2026-05-24 12:11:55
4
Mamiy :
ya Allah tupe subra na tupe wenza wetu wenye kher nasi Amiin
2026-06-13 17:22:57
0
Abubakr sayyid :
ok aante
2026-05-25 03:30:33
1
SHOES-POINT-05 :
Aminiii
2026-05-25 11:50:48
0
Miss Alicia 💞 :
Dah
2026-05-23 07:44:37
0
**Abu##karim. :
Kweli
2026-05-25 01:50:13
0
user4499417681172 :
amen
2026-05-19 13:42:20
1
user72342637457118 :
😪Allah 🤲
2026-05-19 14:30:50
1
dida :
kweli
2026-05-24 14:28:33
0
umm Mody :
kweli shida tupu
2026-05-20 16:11:14
0
user7047425870192 :
dahh nikweli sheh
2026-05-24 16:47:50
0
Palango Salum :
ila NDOA ,300 kwa siku Nina mashaka na hii TAKWIMU.
Maana yake kwa siku 10 NDOA 3,000 kwa siku 💯 NDOA 30,000 !!!!!
siku 1000 NDOA 300,000.
wangapi Wana mashaka na hii TAKWIMU
2026-05-24 15:52:08
0
Amina Ali :
kweli sheikh
2026-05-24 08:29:09
0
Mwalimudimoso :
naaam aalimu
2026-05-24 07:14:16
0
katwe :
mm niliyakanyaga na sasa nipo single nimewachukia wanawake sitaki tn kuoa sijamtaliki siku akirudi ni talaka akapambane na hali yke
2026-05-23 16:53:40
0
Mimaah fourty40 :
ALLAH ATUPE KHERI NYING
2026-05-19 17:56:37
0
To see more videos from user @creana354, please go to the Tikwm
homepage.