@muadhieljuneyd: #utulivuwamoyo #respect #Love #tanzaniatiktok #tiktokoman🇴🇲

@El Juneyd 🌷~💖
@El Juneyd 🌷~💖
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 18 May 2026 23:08:49 GMT
83923
3590
131
1050

Music

Download

Comments

aliochu
Ali ochu :
acha kujiamulia mambo
2026-05-19 17:38:24
9
valkerspots
ValkerSpot🍃🍃 :
huu utakuwa ushauri kutoka kwa wanawake bila shaka
2026-05-21 23:48:35
2
said74324
said :
mashaallah
2026-05-23 19:04:11
1
uchebe41
Don.🔥 :
mbna tunapangiana sasa 😂
2026-05-21 11:31:42
3
neyham9
neyham9🌹♥️ :
mashaallah hiyo point
2026-05-20 14:50:41
3
shuwena.bakargmai
[email protected] :
mh sio hao
2026-05-22 21:03:23
1
merhmerh05
Merhmerh muslim 🌸🧕🥷 :
Me napelekah status 🏃‍♂️‍➡️🏃‍♂️‍➡️🏃‍♂️‍➡️
2026-05-21 11:21:56
2
hukhs4
HUKH'S³² :
mashallah nimependa qasida naitaka please
2026-05-23 17:33:20
1
bintkichury
Azzy@Kichury :
sio Kwa hawa,,,
2026-05-19 14:16:05
2
fetty.ahmed4143
fetty Ahmed 🇹🇿♥️🇴🇲 :
Masha Allah 🥰🥰🥰
2026-05-21 09:05:10
4
zainab.ramadhan98
Zainab Ramadhan :
mashaallah Allah akulipe baadh yawanaume wanajisahau san
2026-05-20 12:11:21
3
khaula.khatib
khaula khatib 🇹🇿 :
kabisaaaaaaaa❤️
2026-05-28 05:51:50
1
binti.aisha
ukhut aisha :
mashaa alla Allhamdulilah 🙏
2026-05-19 07:05:59
1
user7477530947630
shega boy :
ok
2026-05-21 08:43:24
1
user4921796304621
user4921796304621 :
mungu akubaliki 🥰🥰🥰🥰
2026-05-20 17:28:25
1
www.tikto.com.anwar
Muhammad anwar QDR :
bbaaaas 🙌
2026-05-19 10:54:55
1
uchebekhan82
HAJJIKHAN :
mashallah
2026-05-19 18:05:37
1
ruurama
ruurama :
mwenetu unataka kupewa 🌹
2026-05-20 15:17:35
1
ally.ramadhan.she
ISLAMIC ZONE 💞💞💞 :
hii ni media gani?
2026-05-19 11:52:44
3
nalule.tiffa
nalule tiffa :
ongeza sauti
2026-05-19 06:44:24
1
saidipazi741
Saidi Pazi :
hii qaswida jmn inaitwaje
2026-05-20 16:51:54
1
arachnida2070
Chilopoda :
Jin la qasda
2026-05-22 14:34:09
1
user3517541710408
user3517541710408 :
Wallah baada ya Allah kutujaalia kipato, akabadilika, akaanza kutamani wanawake wa nje, akaniongezea wanawake wawili, hakuridhika akaamua kujimilikisha duka langu akadai la kwake, hakuridhika akaamua kumjengea mkewe nyumba kwenye kiwanja changu😭😭😭😭sasa hivi nimebaki kumshakia Allah naamini ipo siku ntalipwa kwa subra yngu
2026-05-20 15:08:29
2
mauamansour613
mauamansour613 :
mm alvyouza nyumba ya historia bc mamb yakabadlka💔😭nakuoa nnamimba ya miez 6 mpk naumwa uchungu alpgiwa cm pesa ya gar hakutuma wl pesa ya ht supu ya mchicha ctokuja kusahau 😭💔
2026-05-20 05:52:00
2
To see more videos from user @muadhieljuneyd, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About