@ahluzamaan_tanzania: 🌙 AHLU ZAMAAN LIVE – TANGA PANGANI 🌙 Assalaam alykum. Tunawaalika katika Shughuli ya Hauli ya Wazee Wake – Ostadhi Rajabu (Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Tanga & Mjumbe wa Kamati Kuu) Katika kuuenzi urithi wa wema na kuendeleza kumbukumbu za watu wema, mnakaribishwa kushiriki katika tukio adhimu lenye baraka na mafunzo ya kiroho. 🗓 Siku ya Idi Tatu 📅 29 Mei 2026 📍 Stahabu Pwani, Pangani – Tanga ⏰ Saa 1:30 Asubuhi RATIBA ITAANZA MAPEMA. 🎙 Visomo vya Qur’an 🎶 Qasida za kuvutia 📖 Mawaidha yenye kugusa nyoyo 🌿 Njoo ujipatie faida ya dunia na Akhera, kwani mikusanyiko ya kheri huleta rehema, utulivu wa moyo na kuimarisha imani. Sisi vijana wa Ahlu Zamaan tutakuwepo kushiriki kikamilifu katika Hauli hii tukufu. 💫 Ahlu Zamaan Upendo • Nidhamu • Mshikamano