@belamstories: Alimdharau mzee maskini barabarani bila kujua ndiye baba wa msichana anayempenda. Siku hiyo Kelvin alijifunza kuwa heshima si ya tajiri wala maskini… ni ya kila binadamu. ❤️🥺 #MajutoYaKiburi #StoryYaKusisimua #FunzoLaMaisha #MapenziYaKweli #UsimdharauMtu