@iswahiliworld: Miaka 60 iliyopita Singapore ilikuwa sawa kiuchumi na Tanganyika/Tanzania lakini leo mambo yamebadilika. #swahilitiktok

iswahiliworld
iswahiliworld
Open In TikTok:
Region: OM
Tuesday 19 May 2026 07:46:52 GMT
7999
731
49
32

Music

Download

Comments

iswahiliworld
iswahiliworld :
Karibu Singapore.
2026-05-19 07:53:09
7
warren.pilla
Warren Pilla :
Hongera sana kwa history fupi ila nzuri sanaa nakupongezaaa sanaa kwa ufanisi wa kazi hii
2026-07-03 18:45:53
1
geelema5
GeeLema :
Kweli inafikirisha sana ndugu zangu 😢
2026-05-23 04:18:29
5
johnumeme918
johnumeme918 :
wenzetu wanaishi maisha safi sana
2026-06-29 14:06:10
2
francsony24tz
francson :
ilipata uhuru muda sawa na Tanzania
2026-05-25 05:57:24
3
yoabumagingamagin
Yoabu maginga @12 :
Uko vizuri sana, Chilumba kwa makala unazoziandaa ,
2026-07-04 09:28:42
0
scholarge
J.J 99 :
kumpiga chura teke aliye safarini yamaanisha nini?
2026-05-23 20:23:56
0
omykigoma
maisha :
duh inauma saana asee
2026-06-08 19:18:47
1
hashtag___sd
Hashtag___SD :
good jooob Rashid 💯💯💯
2026-07-02 11:16:16
0
denisladison
Denis Ladison :
aina tofauti na moshi mjini🥰kwetu
2026-06-21 20:13:21
1
samsonhumbe615
Samson Humbe :
Sisi bado sana aisee duuuuuhh
2026-06-18 18:55:29
2
owadesh.pius
Wadesh :
Nakupenda sana na vile unachambua hisitoria
2026-06-18 20:12:27
1
wivina.charles4
wivina Charles :
ameen 🙏
2026-06-19 10:40:42
0
iddi2221
Iddi :
kwl kaka hilo ndo swali wanapaswaa kujiuliza viongozi wetu ni jambo la kusikitisa sana
2026-06-18 13:35:17
0
tumy647
tumy647 :
Hakuna sauti?
2026-05-30 12:53:40
1
chichifaki.10.folks
ChichiFaki 10 folks :
ULAFI WA MADARAKA TU KAKA HAKUNA TATIZO JENGINE
2026-05-26 06:47:29
2
benedi45
king beni :
Hii ni maajabu
2026-05-20 13:55:31
0
therealcarlue_
𝐄𝐥 Capitanọ 𝐂𝐚𝐫𝐥𝐮𝐞 ⛎ :
Kazi nzuri sana kaka.
2026-05-20 08:46:35
1
goodboytz3
chambanzi :
huku ukiwa na uelewa unatekwa
2026-05-24 12:57:53
0
kaihulainvestment
KAIHULA 🇹🇿 :
I appreciate the fun Bro. Keep it up
2026-06-01 16:15:23
0
fatmaamour504
Brave woman :
aloof nataman na mie niwe mtalii wa dunia biidhllah
2026-05-29 21:05:56
0
sube.kichure
Sube Kichure :
asante kwa taarifa nzuri sijui tanzania itafika lini hapo Mali kibao tunazidiwa nakanchi kenye kipande tu cha bahari. bora tanzania iuzwe kila mtu agaiwe chake ajue pakwenda
2026-06-18 16:38:55
0
bensontemu609
Benson Temu :
tatizo ni ngozi zetu zinatfanya tukombe mboga
2026-07-02 14:44:36
1
finadanielfinadan
lady fina :
mungu akutunze sana
2026-06-03 16:05:25
0
ruaha.tv
Ruaha Tv :
sasa tumekwama wapi
2026-05-19 15:21:17
2
To see more videos from user @iswahiliworld, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About