ambao tunajiona tuko salama na afya njema hatuna kasoro yoyote basi tumshukuru mungub kila wakat na tuache dharau na kiburi kwa wenzetu lakin tuwasaidien watu kama hawa na mungu atabariki maisha yetu sote
2026-05-19 09:31:59
1795
Lee💝 :
Naomba kujua jina la hii sehemu tafadhali nahitaji kwenda na Mimi🥹
2026-05-19 15:26:59
586
Ammary :
mashallah 🥰 wamefrahi san👍🥰🥰🥰
2026-06-04 21:34:56
1
🌿LEE--💕 BERRY🍓 :
alafu ni wazuri mungu awaponye
2026-05-20 07:37:23
170
tonybrown_0 :
i like this girl 🥰
2026-05-20 10:09:14
107
L.u.c.y.🌼 :
Imagine working here ni sadaka ambayo huwez ijua ❤️❤️❤️
2026-05-19 19:31:42
366
Rahul :
kaka nakuombea uishi maisha marefu na yawe na amani
2026-05-19 12:06:59
122
velina_kanana :
wanaowatunza mungu asikie maombi yao
2026-05-19 19:45:11
66
RICHARDI JOBU :
Nimefurahi kuona wote Wana afya zuri 🥰
2026-05-19 13:50:45
80
Nanah🌺🦋 :
Tusiache Kumshukuru Mungu kwa neema alizo tupatia 😪❤️
2026-05-19 20:50:20
65
My sam Kharis :
Allah awape afya njema
2026-05-20 19:42:00
11
user1700223250577 :
pole san
2026-06-04 00:32:57
0
rehemakhalid107 :
Kawanga Mungu akubariki sana Tena sana Kwa upendo wko
2026-05-19 11:25:09
67
STARA ISLAMIC GIRLS 🕋📿✨ :
Naomba anaetaka tuungane tutembelee hii sehem please aje tuwasiliane twendeni 🙏
2026-05-20 06:03:15
340
"CHRISSTALENT"🔥 :
always najifunza kwako✍️✍️
2026-05-19 08:01:35
22
𝐍𝐮𝐫𝐬𝐚𝐧𝐚𝐡🦋 :
Allah atakulipa kaka kwa upendo wako inshaallah🙏🙏
2026-05-22 13:50:31
5
ѕнiмвα :
Yeyote anawakumbuka watu kama Hawa Mungu asimpungukie kwenye Riziki yake🙏🙏
2026-05-20 10:04:44
9
❤️Twist🦋🔐 :
Wazur jman🥺❤️
2026-05-19 12:29:00
31
zaytunny1 :
Asante Allah kwa Afya ulowajaalia watoto wang...pia wape shifaa watoto hawa amiin
2026-05-20 20:07:58
12
Ummuh Rayaz :
jaman ameoa ana watt wanne mungu awafungulie ufaham na ayafanye rahisi maisha yao
2026-05-19 10:33:10
116
candyofficial26 :
😭😭😭😭😭😭 natamani kwenda siku ya birthday yangu
2026-05-20 06:25:17
29
cabomatelephone :
Kama Nilijutia Kukosa Hata Siku...Mwenyezi MUNGU nisamehe🙏
2026-05-20 01:54:43
17
𝒂𝒄𝒉𝒂𝒍𝒖𝒈𝒐💋🐩 :
Watoto wakike ni wazuri jamani😭♥️
2026-05-20 07:36:03
16
ginnel 😇😇 :
@:I don’t know your mom, but I wish her long life❤️🙏
2026-05-20 10:53:38
8
To see more videos from user @kawanga18m, please go to the Tikwm
homepage.