Nimecheka mpaka nimeangusha iphone yangu 17 pro max ya orange nikiwa ndani ya range rover yangu niliyonunua dubai nilipokua kwenye vocation kwa gharama zangu bila msaada wa mtu…😅
2026-05-23 17:50:28
3
Bodycare_Tools :
Wataalamu ndio shida😁
2026-05-19 08:39:32
5
Salma Kijaji :
Mimi daktari wa tiktok nimecheka mpaka mkojo 😁😁😁😁
2026-05-20 09:20:34
15
_quinch :
😂😂enhe
2026-05-19 08:47:48
4
touchcare__saloon :
jamanii mtu a like comment yangu nirudi badae kuangalia vizuri ili pishi
2026-05-26 12:26:39
13
QP Beauty Supply🇹🇿 :
😂😂😂ndio shida
2026-05-19 08:54:48
4
happymarket.tz :
Taptap guys
2026-05-19 08:25:53
4
Damian Ae :
hapo coy alipotokea kutoka mbali 😁😁
2026-05-31 06:52:55
1
sara :
Nimechoka mimi😂😂😂😂
2026-05-20 12:13:05
2
DEE📍 :
Habar wanaTiktok..
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu nana kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu
2026-05-26 08:15:20
2
tinah :
Hii ntakula kesho 🥰🥰
2026-05-19 16:01:56
1
nipher :
nimepata cha kupika
2026-05-19 13:18:48
9
Yeon🌹🦋 :
Madacktari wa tiki tok sio inster gram
2026-05-19 12:32:26
7
MacDonald Tanzania Safari :
demu wangu bikra mwaka wa 3 huu,namtunza mpaka ndoa.
2026-05-23 06:35:44
1
hëârtstoppér❤️ :
aha ..sijui wanatutafutia nn 🤣🤣
2026-05-19 09:41:55
2
mashaurimedady zacharia tz :
yote 9 ichochakula ndo nakitaka ☺️
2026-05-20 11:10:46
2
win-spiritual333 :
Mo dewiji😂😂😂😂
2026-05-20 11:36:58
2
Irene :
Fwata moyo wako 😂😂
2026-05-20 10:28:19
1
Janel erasto :
mabagwitu
2026-05-21 12:04:06
0
Ahorro_Plus🦅💎 :
@Mary_masanja 😀😀
2026-05-30 10:20:41
1
Official Mzazi :
🤣🤣
2026-05-22 10:21:52
1
Vira home decoration :
😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-05-28 13:54:23
1
To see more videos from user @hbthechef, please go to the Tikwm
homepage.