@ibraah_food_suplement: “Unajua nini hutokea mwilini ukinywa maji asubuhi kabla ya kula chochote? 💧 Mwili hupata nguvu, mfumo wa mmeng’enyo huamka vizuri na ngozi huonekana fresh zaidi. Je, wewe huwa unakunywa maji asubuhi kila siku?” #ibraah_food_suplement #Afya #Maji #HealthyLifestyle #AfyaYaMwili