lakini kitabu Cha mungu kinasema tufanye yenye wahubiri wanatuambia ila tusifanye yenye wanafanya wao
2026-05-21 02:01:56
50
bahat shop :
ume fikilia mbali sana bro
2026-05-20 06:08:36
70
princehance3 :
nandio maana mungu alisema ufalme wamungu uta milikiwa na watu wenye nguvu,,na tumuombe mungu sana atupe hekima na maalifa ,,ilitupate kumjua yeye nailekweli ilio kweli,, na atupe mwisho mwema,amen
2026-05-20 06:47:42
45
Baraka 254 🇰🇪 :
Bro you've changed my mindset
2026-05-22 06:58:19
20
Chid mido :
hiyo sound background inaitwaje
2026-05-21 08:41:12
12
G ..boy :
The kingdom is within you😳
2026-05-21 18:35:40
9
LAST BORN :
mimi kanisani siendagi ila naamini Tu mungu huwez kutajirika Kwa kwenda kanisani kila cku
2026-05-21 14:59:05
32
DAVID PM KING :
YESS kabisa una ongueya point brother
2026-05-20 09:20:06
9
@happyirgf1 :
tusio amini dini tuko wangapi natural amini mungu yupo lakini hatujui yupoje tuko wangapi🥰
2026-06-02 17:58:43
7
Eduardo Moises :
umeongea kitu ambacho leo nilikua nakifikiria😂
2026-05-20 09:27:19
23
Dee :
ujumbe umefika kiongozi
2026-05-20 07:57:30
10
Jose_son :
fact
2026-05-20 10:02:54
5
george mmbago :
fact bro🤔
2026-05-20 05:05:35
10
Oldonyo,engaiTz :
uwakika
2026-05-20 08:27:54
6
Junior ole Lesidai :
Totally agree 💯🫶
2026-05-19 20:05:02
8
dady tasha :
good
2026-05-20 05:51:53
6
𝑫𝒆𝒐𝒅𝒂𝒕𝒖𝒔 ⚡ :
good massage
2026-05-20 02:37:06
6
julius :
hakika ndugu
2026-05-20 10:21:09
6
Kash🫵🇰🇪 :
bro mungu akulinde umefungua macho ya wengi nikiwemo
2026-05-21 06:20:47
8
Coll,calm and collected :
Lkn pia ukiwazingatia infact wachungaji pia wanasema mungu hapendi watu maskini so binafsi inabidi kujiongeza maana maana ungu hana mtumishi alie muajiri mungu hahitaji msaidizi
2026-05-20 11:34:03
10
Ivany Mtwev ee :
uko kweli mzee
2026-05-19 22:22:11
7
Bablai Mnoma :
fact sana mkuu wang 🙏
2026-05-20 04:29:06
11
msabigo :
uko sahihi mku
2026-07-01 11:33:30
2
Slim Jay :
kwangu sijaona ukweli...unaongea upuuzi bro...kama wanua jinsi Mungu anavyofanya kazi....utaabudu kwa njia iliosawa
2026-05-24 18:20:45
1
To see more videos from user @mr.axemotivation, please go to the Tikwm
homepage.