Ila huyu mwamba hii shule alikoitoa tunajifunza mengi sana kwake saluti kijana usiache kutufundisha Tunashukuru sana
2026-05-20 05:15:30
394
Lela❄️☘️❤️ :
Vp kuhuc dove shower cream 🥺
2026-05-20 21:35:47
1
..Sheyler.. :
na hiyo shower jelly unatumia hadi uson
2026-05-20 05:13:30
91
ombenistore (Vyombo & Cake) :
shingap hiyo Body wash Dove
2026-05-20 10:15:50
1
Leo 👸 :
Mbona hiyo dove ni nzito sanaa jmn 😂😂😂
2026-05-20 11:03:11
20
James Ngairo🇹🇿✈️🇶🇦 :
tumia iyo sabuni unang'aa na ku grow ngozi inakuwa soft na inapumguza mafuta🥰
2026-05-21 04:53:55
21
ZOYA BM :
Mimi natumia sabuni yangu ya rungu sina haraka na maisha😀🤣😂
2026-05-20 19:27:11
25
mamkenda_collection_tz :
ndo raha ya kwenda shule, very good
2026-05-20 04:33:38
28
JOLYSOAP :
me natumia shower gel ya VVIP natumia mpaka uson wakati wa kuoga,,vpi nakosea ama??
2026-05-20 06:12:09
6
Blackiie Gurliie🍭 :
basi hiyo shower gel jamn nlkua nikiogea nawashwa uwiihhh nmeachaga kitambo kumbe kwasbabu ngozi yangu n kavu aiseee 🥰🥰 na nkiogea hz za dove siwashwi leo nmejua khaa kaka asanteh
2026-05-20 11:08:41
6
Matty B :
Shower gel yangu pendwa
2026-06-10 17:20:42
2
G mom :
eeeh kumbe tulikua tunajiamulia mambo😀
2026-05-20 10:03:41
12
Apple Maya :
yani umenifumbua sana masikio maana nilikuwa natumia shawer Gel ikawa ngozi yangu inazidi kuwa kavu na sasa natumia dove ngozi yangu imekuwa soft kumbe shida ilikuwa kwa wauzaji wanashindwa kutufafanulia asante nimepata mfumbuzi
2026-05-20 06:48:40
16
Scola Jk :
😂😂😂 ngoja Niache body wash Sasa nitumie showergel
2026-05-20 07:38:01
8
missepo2025 :
Mungu akubariki sana kaka maana mm nilidanganywa kuwa hiyo dove ndy shawajel jaman hawa wauzaji wanatukomoa sana asante kaka kwa kunifumbua macho 🥰 nakupenda sana akchwali 🥰🥰
2026-05-20 07:42:54
6
sharifa8765 :
wauza vipodozi nchn n wawl tu Dr akichwal na Dr katema🖐️
2026-05-21 13:01:21
7
Nuru :
leo itabdi nitazame video zako karibu zote
2026-05-20 06:12:54
8
fettyally :
shower cream nayo niya kinanan
2026-05-20 12:44:33
8
cuteofficil :
Asante sana kaka🥰
2026-05-20 05:58:20
7
vee255 :
Aante
2026-05-21 17:56:57
1
meeggy2 :
Unafundisha vizurii 🥰
2026-05-21 17:32:06
3
mimi Lulu 2098 ❤️ :
haya wale tumefumbuliwa leo 👋 😂🥰
2026-05-21 05:04:01
3
𝔭𝔬𝔭𝔪𝔷𝔞𝔪𝔦𝔯𝔲 :
𝑎𝑠𝑢𝑏𝑢ℎ 𝑘𝑤𝑎𝑛𝑧𝑎 𝑛𝑎𝑛𝑎𝑤𝑎 𝑢𝑠𝑜 𝑛𝑎 𝑠ℎ𝑒𝑤𝑒𝑟 𝑔𝑒𝑙 𝑠𝑖𝑒𝑙𝑒𝑤
2026-06-05 13:09:11
1
Beth :
Imagine sikuwa najua 🥲
2026-05-20 15:16:54
3
To see more videos from user @akichwali_255, please go to the Tikwm
homepage.